Kazi za usalama (TISS) mpaka utoe hela?

TISS Hawa ajiri watu kwa matangazo ya kazi wanamfuatilia mtu wanamchunguza mwisho wanamuita na kum offer kazi

Na sio rahisi kuhakiki kama mtu anafanya kazi huko labda uende ofisini kwao makao nakuu uka prove

So watu wanatumia njia hiyo kuwalaghai vijana na kuwatapeli ni utapeli kama utapeli mwingine so kua muangalifu usije kulia
 

Similar Discussions

7 Reactions
Reply
Back
Top Bottom