Habari waungwana.Niende ktk hoja hapo kipindi cha nyuma nilikuwa nikiona transfoma zilizoharibiwa kutokana na watu kugema mafuta yake sasa swali langu ni jee hayo mafuta yana kazi gani na yana thamani gani hadi kufikia watu kurisk maisha yao kwa ajili ya kuyaiba?