Kazi ya mafuta ya transfoma

Kazi ya mafuta ya transfoma

Na huyo anaepanda juu ya hilo transfoma na kuchukua mafuta ni kama kujitoa muhanga aisee.
Sasa ushaambiwa yale mafuta ni dawa,kama yanaponya na kupooza mashine ya transformer...nayo dushe kwanini isibust
 
Chips za transfoma na mishikaki ya mbwa.
Sipati picha mlaji anavyo lishwa haram
 
Kazi yake ni kuwa yanaongeza nguvu za kiume,utafiti huo ulifanyika uko marekani walichukua mafuta ya transiformer wakapikia chakula kisha wakawapa wenye ukosefu huo na kuonyesha matokeo mazuri......so sie wanaume tusiwachukie wauza chipsi
Nahisi kuna nguvu ya kimahusiano kati ya nguvu ya umeme na nguvu za kiume.......kupanga ni kuchagua tutumie umeme ama tuongeze heshima za ndoa katika majumba yetu


Wewe Hajto....utaleta tabu watu watachokonoa transform mpaka miji iwe giza tupu. Si unajua Upungufu wa Nguvu za Kiume(UNK) ni tatizo la kitaifa.
 
Kama ni kupikia chips wengi tumeshaumia , labda athari zake ziwekwe hadharani na matibabu yaanze mara moja. Watu hawana huruma na maisha ya watu. Ni kupiga pesa kwa kwenda mbele.
 
HIYO HABARI YA MAFUTA KUTUMIKA KWENYE CHIPS KUKAANGIA NI FIX TU HIYO ILIKUWA KAMA KUWAPOTEZA WATU MABOYAA

kwanza elewa mafuta ya transformer kama coolant,swali lingine jiulize jiulize mafuta ya transformer yako kwenye kundi gani ya extraction of crude oil?

Jibu sasa la mafuta ya transformer yakiibiwa yanapelekwa wapi,ni kwenye maviwanda wao ndiyo wananunua na wanatumia kwnye kuendesha mitambo yao huko

Mambo ya kukangia chips hakuna kitu kama hicho.....

Ova
 
Wewe Hajto....utaleta tabu watu watachokonoa transform mpaka miji iwe giza tupu. Si unajua Upungufu wa Nguvu za Kiume(UNK) ni tatizo la kitaifa.

😳😳😳 ila nadhani sasaivi Tanesco wameshabadilisha matransiformer yao yote hayatumii mafuta,Sasaivi yanatumia gesi......so sasa wewe jichanganye ukakanyage kitu cha gesi kikulipukie
 
Mafuta huwa yanapoza windings za transformer, ila watu wanaiba na kufanyia shughuli nyingine. Hata kwenye compressor za frigde, air conditioning na pump zinazozamishwa kwenye kisima ( submersible pump) zina mafuta kwa ajili ya kupoza .
 
Kukaangia chips
Hili aisee inabidi tulifanyie utafiti,kwa jinsi yale mafuta yalivyo na harufu yake ilivyo kali,kuniambia ya kuwa yanatumika kwa ajili ya kukaangia chips,akili yangu ina kataa kabisa.
 
Back
Top Bottom