Solo Traveller
JF-Expert Member
- Apr 15, 2021
- 1,725
- 5,183
Naombeni kazi Nina uhitaji na KAZI yoyote
A 16-hour workday, Mon to Sun, all for TZS 300,000? If so, that is exploitation at best!Ofisi inajihusisha na uuzaji wa GAS ZA KUPIKIA.
ENEO ILIPO : KIMARA
MAJUKUMU : YOTE YAHUSUYO OFISI HIYO
VIGEZO : UWE NA NIDA NA WADHAMINI (2) WENYE MAKAZI YA KUDUMU
MUDA WA KUINGIA KAZIN : 12:00 ASBH
MUDA WA KUTOKA : 3:50 USKU
MSHAHARA : 300,000
SIMU : 0786 _ 025 025 WHATSAPP/CALL/MSG
ANGALIZO : KAMA HUWEZI FIKA KAZIN BA KUTOKA MUDA TAJWA USINITAFUTE.
KAMA HUNA NIDA + WADHAMINI USINITAFUTE PIA.
Watu wamekasirika na mshahara wa boss, nae boss ana kiburi hatari🤣Comment za huu Uzi mie hoi 😂😂😂😂😂😂
How???A 16-hour workday, Mon to Sun, all for TZS 300,000? If so, that is exploitation at best!
You can make money without turning anyone into a slave!
Nchi kutokuwa na ajira siyo ruhusa ya kufanya wanaotafuta kazi kukatazwa kuulizia kiwango na mfumo wa malipo. Ni haki ya kila mwajiriwa kujua haki yake ili kusiwe na mgogoro. Mambo kama hayo ndiyo hufanya wafanyakazi wengi wageuke wezi.Wabongo nMnalalamika hakuna ajira, alafu ajira ikipatikana tena mnadai posho nje ya mshahara. Na uweledi hamna🚮
Duh! SawaNchi kutokuwa na ajira siyo ruhusa ya kufanya wanaotafuta kazi kukatazwa kuulizia kiwango na mfumo wa malipo. Ni haki ya kila mwajiriwa kujua haki yake ili kusiwe na mgogoro. Mambo kama hayo ndiyo hufanya wafanyakazi wengi wageuke wezi.
A standard workday has 8 hours (Mon to Fri) and public holidays aren’t workdays!How???
Serekali yenyewe inatufanya ma slave ili kupata faida
Sheria ya EWURA hairuhuruhusu Muuza GESI achanganye gesi na bidhaa yyte ile.Mkuu,sorry..inawezekana mtu ukafanya biashara pekee ya gesi?? Bila kuchanganya na bidhaa zingine visivyo husu gesi? Tumezoea hasa wilaya niliyopo hakuna duka huru la gesi..ila mtu anakuwa na biashara nyingine halafu anaweka na vimitungi vichache vya gesi hapo nje...
Ni kwamba hailipi? Ama ni kwa nini inafanyika hivyo
Muongoooooooo Mkubwaaaa...Huyu jamaa mgaigai kipindi nimo juu ya mawe sichagui kazi chochote napita nacho mbele alitangaza kazi kama hv .....kuja kumcheki magumashi kibao.
w jamaa ulinipotezea sana muda wangu
Kwa kifupi hakuna kazi vijana samjo nyingi huyu.
Mkuu naomba kazi mimi achana na huyo jamaaaMuongoooooooo Mkubwaaaa...
Unabahati nmekujibu...
Mkuu sasa mbona uko harshy hivyo? Huo mshahara wa 300,000 kwa mwezi ina maana atakuwa analala na kula kwako au atakuwa anajitegemea kwa kila kitu hadi nauli? Nyie ndio mnasababisha vijana wanakuwa mawinga kwa kupandisha bei bidhaa ili wajilipe mishahara indirectly.Ofisi inajihusisha na uuzaji wa GAS ZA KUPIKIA.
ENEO ILIPO : KIMARA
MAJUKUMU : YOTE YAHUSUYO OFISI HIYO
VIGEZO : UWE NA NIDA NA WADHAMINI (2) WENYE MAKAZI YA KUDUMU
MUDA WA KUINGIA KAZIN : 12:00 ASBH
MUDA WA KUTOKA : 3:50 USKU
MSHAHARA : 300,000
SIMU : 0786 _ 025 025 WHATSAPP/CALL/MSG
ANGALIZO : KAMA HUWEZI FIKA KAZIN BA KUTOKA MUDA TAJWA USINITAFUTE.
KAMA HUNA NIDA + WADHAMINI USINITAFUTE PIA.
Nmekuelewa vyema kiongozi,kwa hyo ili uone faida ya gesi ni lazima uweke na mazaga mengine kama duka la mangi?Sheria ya EWURA hairuhuruhusu Muuza GESI achanganye gesi na bidhaa yyte ile.
Lakini wanapotezea maana wakisema sheria ifatwe Wengi watalia.
GESI ni kama MAFUTA ni chanzo cha MOTO/NISHATI ni biashara ambayo siku yoyote haitofanywa tena kiholela.
Unakumbuka zamani Tulikua tukitaka MAFUTA YA TAA ukienda kwa mangi unayapata...
Sasa hivi vipi Mafuta ya Taa unayapata kirahisi??
Sasa GESI muda na saa Yoyote sheria ikianza fatwa Hutoona Gesi Mtaani watu wote watafata gesi SHELI kaam zamani au Lah wataenda kununua kwa wauzaji walio idhinishwa na wenye vigezo.
Maana GESI haiuzwi tu ili uiuze kuja VIBALI vya kuiuza..
Utapomalizana na Manispaaa utaenda FIRE nao kuna malipo yao, kuna kaguzi zao na mwisho EWURA kusajiliwa..
Ki ufupi hizo GESI mtaani unazo ziona ni swala la Muda kama ilivyokua MAFUTA ya TAA Hutoona gesi.
Eneo la FAIDA gesi haina faida kweli ukisema uiuze yenyewe kama yenyewe basi daaaah uwe na mtaji na uwe sehemu gesi zinayoka otherwise UNACHOMA MTAJI.

Lakini huo mshahara walikuwa wanalipwa pia watumishi wa serikali wakiwemo walimu mkuu hadi mwaka juzi.ndo wakabadilisha.Mkuu sasa mbona uko harshy hivyo? Huo mshahara wa 300,000 kwa mwezi ina maana atakuwa analala na kula kwako au atakuwa anajitegemea kwa kila kitu hadi nauli? Nyie ndio mnasabanisha vijana wanakuwa mawinga kwa kupandisha bei bidhaa ili wajilipe mishahara indirectly.
Kama mtaji mdogo..changanyaNmekuelewa vyema kiongozi,kwa hyo ili uone faida ya gesi ni lazima uweke na mazaga mengine kama duka la mangi?
Walimu wana uwezo wa kuiba muda na kufanya shughuli za ziada za kujiongezea kipato. Kumfanyisha mtu kazi 24/7 tangu saa 12 asubuhi hadi 3:30 ni utumwa. Labda kama analala na kula kwake na kupewa nauli au kupelekwa kazini.Lakini huo mshahara walikuwa wanalipwa pia watumishi wa serikali wakiwemo walimu mkuu hadi mwaka juzi.ndo wakabadilisha.
Ww n mke wa jamaa? Mbona maelezo mengi kuliko mhusika?Utaipata wapi kazi isiyo rasmi(formal employment) inayolipa 300,000 kwa mwezi?
Mpaka laki wanalipwa mzee,na malazi na chakula ni kujitegemea.Walimu wana uwezo wa kuiba muda na kufanya shughuli za ziada za kujiongezea kipato. Kumfanyisha mtu kazi 24/7 tangu saa 12 asubuhi hadi 3:30 ni utumwa. Labda kama analala na kula kwake na kupewa nauli au kupelekwa kazini.