ni maoni tuSawa
Inabaki nyingi sana bro!Na huo mshahara kula ni juu yako na kodi ya geto ni juu yako,,sijui nini kinabakia hapo
Tatizo la hawa watu, unaweza kuzunguka zaidi ya wiki nzima unaombaga tu kazi! utaskia katafute barua ya mwenyekiti, mara cheti cha kuzaliwa yaani mambo kedekedeMasai kapandisha Mori kimjini.Wabongo hawataki kazi wanataka Mshahara.
Ikiwa ni biashara yako, utafanya masaa 45 kwa wiki???Kwa sheria za ajira Tanzania mtu anatakiwa kufanya kazi masaa yasiyozidi 45 kwa wiki, watakuja watu sababu wana shida ya ajira vinginevyo huo mshahara ni mdogo sana kwani unamzuia hata kufanya majukumu yake ya kijamii.
Mkuu,sorry..inawezekana mtu ukafanya biashara pekee ya gesi?? Bila kuchanganya na bidhaa zingine visivyo husu gesi? Tumezoea hasa wilaya niliyopo hakuna duka huru la gesi..ila mtu anakuwa na biashara nyingine halafu anaweka na vimitungi vichache vya gesi hapo nje...Ofisi inajihusisha na uuzaji wa GAS ZA KUPIKIA.
ENEO ILIPO : KIMARA
MAJUKUMU : YOTE YAHUSUYO OFISI HIYO
VIGEZO : UWE NA NIDA NA WADHAMINI (2) WENYE MAKAZI YA KUDUMU
MUDA WA KUINGIA KAZIN : 12:00 ASBH
MUDA WA KUTOKA : 3:50 USKU
MSHAHARA : 300,000
SIMU : 0786 _ 025 025 WHATSAPP/CALL/MSG
ANGALIZO : KAMA HUWEZI FIKA KAZIN BA KUTOKA MUDA TAJWA USINITAFUTE.
KAMA HUNA NIDA + WADHAMINI USINITAFUTE PIA.
Huyu jamaa mgaigai kipindi nimo juu ya mawe sichagui kazi chochote napita nacho mbele alitangaza kazi kama hv .....kuja kumcheki magumashi kibao.Ofisi inajihusisha na uuzaji wa GAS ZA KUPIKIA.
ENEO ILIPO : KIMARA
MAJUKUMU : YOTE YAHUSUYO OFISI HIYO
VIGEZO : UWE NA NIDA NA WADHAMINI (2) WENYE MAKAZI YA KUDUMU
MUDA WA KUINGIA KAZIN : 12:00 ASBH
MUDA WA KUTOKA : 3:50 USKU
MSHAHARA : 300,000
SIMU : 0786 _ 025 025 WHATSAPP/CALL/MSG
ANGALIZO : KAMA HUWEZI FIKA KAZIN BA KUTOKA MUDA TAJWA USINITAFUTE.
KAMA HUNA NIDA + WADHAMINI USINITAFUTE PIA.
Kitambo yupo hivyo huyu,anahifanyaga ana'vimiradi kumbe holaaHuyu jamaa mgaigai kipindi nimo juu ya mawe sichagui kazi chochote napita nacho mbele alitangaza kazi kama hv .....kuja kumcheki magumashi kibao.
Mseng.e sana ww jamaa ulinipotezea sana muda wangu
Kwa kifupi hakuna kazi vijana samjo nyingi huyu.
inategemea ni biahara ya namna gani, pia hakuna kipengele kinachonibana mimi nimezungumzia sheria ya ajira soma uele vizuriIkiwa ni biashara yako, utafanya masaa 45 kwa wiki???
Upo sahihi sana kaka anajifanyaga ana miradi mingi ya hapa na pale.....huyu tapeli tu atakuwa anatafuta wadada wenye njaa apite nao masikini.Kitambo yupo hivyo huyu,anahifanyaga ana'vimiradi kumbe holaa
Kama ni hivyo Inaonekana mlikuwa wengi, Kuna aliyekuzidi qualificationsUpo sahihi sana kaka anajifanyaga ana miradi mingi ya hapa na pale.....huyu tapeli tu atakuwa anatafuta wadada wenye njaa apite nao masikini.
Siwezi kumsahau huyu mbabaishaji wa JF alinisumbua kutafuta wadhamini nimempa taarifa zangu confedential halafu akapita mbele.
kwahiyo vijana wapambanaji hawatakiwi kuhoji? wewe ni mjinga nini!..hivi unahisi kazi ya kubeba mitungi ya gesi na kuipanga kwenye godauni ni mchezo.....kijana🖕🏼🖕🏼. Mnalalamika hakuna ajira, alafu ajira ikipatikana tena mnadai posho nje ya mshahara. Na uweledi hamna🚮
Utaipata wapi kazi isiyo rasmi(formal employment) inayolipa 300,000 kwa mwezi?kwahiyo vijana wapambanaji hawatakiwi kuhoji? wewe ni mjinga nini!..hivi unahisi kazi ya kubeba mitungi ya gesi na kuipanga kwenye godauni ni mchezo.....kijana🖕🏼🖕🏼
Mkuu naomba unisaidie KAZINikisikia neno ajira naonaga gundu yaan asubuh to usiku laki 3 yaan kwa siku unaingiza elfu kumi wakat menyewe kwa siku nimekosa sana naingiza 40 tena napata karibu masaa ma4 ya kupumzika polen na ajira zenu