Kazi ya kuuza duka Kimara

Kazi ya kuuza duka Kimara

Inabaki nyingi sana bro!
Ukila 5,000 unabakiza 5,000 ya kusave
kwa wiki 5,000 × 7 = 35,000
Halafu kwa mwezi 35,000 × 30
= 1,050,000 hapa utatoa nauli na marupurupu mengine, itabaki kama laki 9, ndani ya mwaka mmoja hujajenga kweli? Au hujafungua biashara kama hiyo ukawa boss? Maisha ni kupanga
We jamaa hivi umesoma kweli hesabu, sio kwa ubaya nauliza tu
 
A 16-hour workday, Mon to Sun, all for TZS 300,000? If so, that is exploitation at best!

You can make money without turning anyone into a slave!
Naomba na mimi unichambulie je ni slave work au lah .. malipo 450k kwa mwezi nssf 50k ya mwajiri + 50k ya mfanyakazi .. jumla 100k .. yani hapo umelipwa 450 k nssf 100k .. masaa 12 ya kazi .. nauli hutumii .. makazi umepewa .. Je huu ni unyonyaji au lah
 
Ile dhambi nafsi ilinisuta nikaikimbia kwa kifupi wadada wanaostruggle kutafuta kazi wanakutana na changamoto sana yahn wanaliwa sana sana na vijana wa hovyo.

Kuna dada mmoja alikuwa bint mdogo kazalishwa mapema ila mzuri lakini kafubaa na maisha vibaya nikamtafutia kazi feki kwa malengo yangu nije nimbandue yahn nimshenyente

Nikawa nimempanga jamaa yangu mchongo mzima nikampigia mbele ya huyo singo maza huku nimemuweka loud speaker ....Maongezi sasa

Me: Mkuu mambo vp ebhna ulishapata dada wa kumuweka pale kwenye stationary yako

Tapeli mwenzangu:Kwa sasa bado ila kuna shemaji yangu yule mdogo wa mke wangu ndio yupo anashikilia maana yupo likizo ila bado natafuta,vipi una mtu kama nilivyokwambia

Meme: Yeah kuna bint mmoja mtoto wa shangazi yangu(namjaza sasa ili aone nampambania) yupo nikasema ngoja nikuulize.(hapo bint katulia masikio yote yamesimama anajua kashapata mchongo masikini)

Tapeli mwenzangu: Una uhakika amenyooka kaka maana hapo wewe ndio unabeba dhamana mzee wangu me nitamchukua kwa sababu yako ebu mtest test kama ni mwaminifu

Me: Binti amenyooka na anajitambua mno kaka niamini mimi hana mbambamba(kipindi hiko msemo wa mbambamba ndio habari ya mjini)

Tapeli mwenzangu: Basi haina noma kaka Yule dogo akirudi shule wanafungua baada ya week mbili nitakuchek umlete ,anaitwa nani?

Me : Anaitwa Salma hana shida nadhani mambo ya malipo mtapanga akija kazini.

Tapeli mwenzangu : sawa mkuu limeisha hillo.

Hapo nikawa nimejipa week mbili za kubaluza mtoto wa watu halafu nipotee shwaaaaa kama kimbunga.

Baada ya hapo huyu binti akawa royal sana kwangu akiamin kuna kazi na kumbuka hapo anajua mimi ndio kila kitu ili apate kazi....sasa siku ya pili naonana nae gheto tukawa tunapiga stori (hii siku ndio ilikuwa nimshenyete hahahah) binti akaanza kunipa vipengele vyake sio poa yahn kazi hiyo kwake anaiona itakuwa kama Mungu wa pili....kwakweli nikashikwa na imani Nyege zilikata na yule bint akaondoka na 30k yangu ya ngana bila kumfanya chochote though yeye alikuwa willing kabisa nimbandue remind kipindi hiko niko juu ya mawe hali ngumu sana lakini kwa matatzio yake mimi nilikuwa na afadhali.

Mara baba wa mtoto amekimbia, home anakaa na bibi anaumwa mtoto nae anaumwa, ela hana (kuja gheto alitembea nauli ilikuwa buku tu). Hiyo 30k nimepa haamini yahn nakumbuka akasema basi naenda kumuangalia mtoto badae jioni nitakuja (naona hapa ndio alitaka aje anipe yote sasa). To make story short Nilikataa kutumia shida na njaa za zake ili nilale nae.

So huyu Boss wa mchongo kaona hii ndio iwe gia yake ya kuwarubuni mabint majobless, ila ni tabia mbaya mno badae unalalamika mipango haisomi kumbe kuna ushenzi ulifanya nyuma huku.
[emoji23][emoji23][emoji23] ila maisha haya daah.
 
Na huo mshahara kula ni juu yako na kodi ya geto ni juu yako,,sijui nini kinabakia hapo
Mfano unaishi karibu yaani mbezi au ubungo.
-Nauli 500, kwenda na kurudi 1000
-Chakula asubuhi 1000,mchana 2000,usiku 2000 jumla 5000
-Maji 1000
-ziada 1000
Kwa siku jumla 8000.
Inabaki 2000.
2000×7=14000 hii ndio saving yako ya wiki.
Jumamosi unatafuta odds 5 unaweka 7000. Halafu 7000 inabaki ya kubet tena kama mkeka ukichanika
 
Mfano unaishi karibu yaani mbezi au ubungo.
-Nauli 500, kwenda na kurudi 1000
-Chakula asubuhi 1000,mchana 2000,usiku 2000 jumla 5000
-Maji 1000
-ziada 1000
Kwa siku jumla 8000.
Inabaki 2000.
2000×7=14000 hii ndio saving yako ya wiki.
Jumamosi unatafuta odds 5 unaweka 7000. Halafu 7000 inabaki ya kubet tena kama mkeka ukichanika
Mhh
Sio kwa bajeti sio kwa zama hizi mpaka wauza pweza wanamjua trump kawavusha na bei elekezi
 
Naomba na mimi unichambulie je ni slave work au lah .. malipo 450k kwa mwezi nssf 50k ya mwajiri + 50k ya mfanyakazi .. jumla 100k .. yani hapo umelipwa 450 k nssf 100k .. masaa 12 ya kazi .. nauli hutumii .. makazi umepewa .. Je huu ni unyonyaji au lah
Na wewe kazi yako ni kuuza duka? Kuna uafadhali. Ukiongeza monetary value ya makazi na hela ya usafiri unayookoa, ujira wako unakuwa much better!
 
Inabaki nyingi sana bro!
Ukila 5,000 unabakiza 5,000 ya kusave
kwa wiki 5,000 × 7 = 35,000
Halafu kwa mwezi 35,000 × 30
= 1,050,000 hapa utatoa nauli na marupurupu mengine, itabaki kama laki 9, ndani ya mwaka mmoja hujajenga kweli? Au hujafungua biashara kama hiyo ukawa boss? Maisha ni kupanga
Ah kmmmkee 😂
 
Ubosi nao nikazi naona boss kakutana na wafanyakazi wamevurugwa
 
Kuliko kukaa bure bila mchongo wowote ni bora kujishikiza kama kijana, wakati ukiendelea kujipambania kwenye fursa zenye malipo mazuri zaidi.
Kikubwa tu boss awe amenyooka asiwe anasumbua tu kutoa pesa mwisho wa mwezi.
 
Elfu 40 ni hela ya kuja kusema unapata kwa siku na una masaa ma 4 tu ya kupumzika...

Na wewe una beza wanaopata 10k kwa siku ambapo tukienda kiuhalisia Ulingoni uso kwa uso

Benefit za mwenye 10k kwa siku na wewe wa 40k kwa siku Take home anakuacha mbali mbingu na Ardhi...

Kuna kazi Hulipwi hata sh 10 kwa siku wala kwa mwezi lakini anapata marupurupu zaidi yako wewe unaetaka 40k kwa siku

Ki ufupi Hamna MUAJIRI Boya na hamna muajiri anaeropoka tu Mshahara, kila mshahara unaopangwa na muajiri yeyote kashaupgia hesabu na kaona unakidhi mtu kulipwa.

ENdelea na ajira yako ya 40k/day jitahidi usiwe unasema ungekausha tu maana hiyo sio hela ya kulipwa

Ukiniambia mimi ntakukandia kama wewe unavyomkandia wa 10k...

Yani 40k kwa siku ukae kimya kabisa next time...
Mkuu kuna kijana aliwah kunisimulia alipata kazi hapo dar ya kuuza gesi kama hii tena humuhumu jamiiforums. Akaingizwa kwenye hesabu fulani hiv za kutoa na kujumlishq akawa mpaka anaingia kwenye madeni kwa mwezi akatimua vumbi

Yani mwisho wq mwezi ofisi ndio inamdai yeye sio yeye kudai mshahara ofisini. Sio hii kweli?
 
We jamaa hivi umesoma kweli hesabu, sio kwa ubaya nauliza tu
Jamaa ni bingwa sana wa hesabu.Kwenye kipato cha laki 3 kwa mwezi ameweza kusave laki 8 kwa mwezi!Kwa jamaa mwezi una wiki 30.Jamaa ni noma sana wa makalukulesheni
 
Jamaa ni bingwa sana wa hesabu.Kwenye kipato cha laki 3 kwa mwezi ameweza kusave laki 8 kwa mwezi!Kwa jamaa mwezi una wiki 30.Jamaa ni noma sana wa makalukulesheni
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom