Kazi ya Jeshi Kugangamala....

Kama mimi ndo mgeni rasmi kama alikuwa Sergent nampa ustaff sergent!
Maana mwingine anaweza acha majukumu kujiziba!

Mkuu umenichekesha sana.....umefurahia jamaa alivyoacha vyombo nje??
 
n noma kitu kinapumua teh teh teh
Ila mpiga picha nae aliliona hil tu? Je la kuweka maua?
 
Back
Top Bottom