CCM hii ni zaidi ya dharau

SNAP J

JF-Expert Member
Dec 26, 2013
7,079
7,976
Wanavyoswagwa kwenye makenta kama ng'ombe wanaopelekwa mnadani kuuzwa vile!!

Wakati mgeni rasmi anakuja na msafara wa ma V8 new model


IMG_20230918_205302.jpeg
 
Mkuu hapo hata ajali ikitokea hiyo elfu kumi haitasaidia hata kununua sanda
Kweli lakini hao sio machizi ni watu wenye akili timamu na wanamajukumu ndio maana wakaona ni NgumU kutembea kwa mguu Bora wapande hilo zagalo
 
Back
Top Bottom