Kazi ya Jeshi Kugangamala....

Spear_

JF-Expert Member
Dec 29, 2010
1,603
486
afande.jpg

Hapo unakuta mgeni rasmi yupo nyuma yake......
 
tatzo cku hizi hata askali nao wanavaa modo sasa ikiachia km hivi ndio balaa hapo.
 
mzanzibari akiwa nyuma yake hapo je? au wale watu wa mombasa na Lamu?
 
Kama mimi ndo mgeni rasmi kama alikuwa Sergent nampa ustaff sergent!
Maana mwingine anaweza acha majukumu kujiziba!
 
Back
Top Bottom