Kasheshe
JF-Expert Member
- Jun 29, 2007
- 4,694
- 793
Huo ndilo udhaifu mkubwa nilioushuhudia kutoka kwa mpendwa huyu wa wanaCDM! Siju jimbo lake analiambia lihudumiwe na nani? Na kodi zetu sisi ambao hatuko huko kwake? Au asrme nani haswa?..kitu kingine ni namna anavyochangia ...kule jimboni kwake anawaambia wananchi wasilipe kodi..