Kazi nzuri Tundu Lissu Antipas!

Kazi nzuri Tundu Lissu Antipas!

I fully agree with you best in politics and legal... Very weak in discuss economical related issues which to my knowledge it is our main concern as a country!!!! I only see Zitto in economy the rest are politic ... Which I hate... B'se it has failed to sslvage our country from poverty!

Hebu fikiria sawa sawa; Uchumi wa nchi gani duniani ulitegemea watu wenye Knowledege na uelewa wa mambo ya uchumi tu??? Mfano; wanansheria wabovu ama pengine sio wabovu ila wanatumika kisiasa na kusahau maslahi ya jumla ya nchi na kusaini mikataba mibovu ya madini ambayo kwa miaka 10 kamapuni inalipa Kodi 400B huku wafanyakazi wakilipa 500B.Huoni kama kama uchumi unahitaji fani mbali mbali ili ukue na si wanachumi pekee kama wewe unavyoamini??? Kama wanansheria wa serikali wangesaini mikataba kwa maslahi ya taifa na kisha wanauchumi wakasimamia mipango ya kukuza uchumi, huoni tungekuwa mbali sana???

'UCHUMI WOWOTE DUNIANI UNATEGEMEA KADA ZOTE ZA TAALUMA' USIKARIRI.
 
Wakuu JF, Amani iwe nanyi.

Mara nyingi sana nikiwaga Namuangalia Lissu, the way anavyojengaga Hoja, the way anavyopanguaga Hoja, hasa hasa zile Hoja za kutungwa na watu wenye Roho za Kishetani, sina haja ya Kuwataja, Mnawafahamu nina Uhakika,the way anavyojielezea Mbele za Watu na Mbele ya Kadamnasi kwa Ujumla.
Na Pia, Kila nikiangalia Kazi za Mikono ya na Kichwa cha Lissu, Matokeo yake yanadhihirisha Huyu Kamanda ametumwa na Mungu.
Kama nikiorodhesha Kazi alizo zifanya Lissu, Nadhani the list will be endless, the list will be infinite.

Sina Mengi, Najua kuwa wale Buku 7, Lumumbar Project, Wakiongozwa na Senior Lumumba Buku 7 Project, Ritz , watakuja na Povu, Mkia Juu
Katika Kutaka Ku Justify kwa Ma Boss wao jinsi Cash advance (One Month) walizoepewa tayari vile Zinafanya Kazi.


Ila Hawataubadilisha ukweli ulio wazi kuwa, Tundu Antipasi M Lissu ni Alama ya Uwepo wa MUNGU CHADEMA , Tanzania na Duniani kwa Ujumla
Mkuu Bramo hujapepesa macho huo ndo ukweli mtupu hata mr dhaifa hilo analijua,lakini kwa LUMUMBA PROJECT hii ni ngumu kumeza kwao
 
Mimi nakubaliana kwamba Tundu Lissu Ni mtu aliyejitofautisha sana na wengine wengi, hasa katika kizazi chetu hiki ambacho watu wengi sio makini. lakini sikubaliani na jinsi mtoa hoja alivyoleta hoja yake na pia jinsi uchangiaji ulivyoendelea.

1. Mosi, kwa kuwa Tundu Lissu amejitofautisha katika umahiri wa kujenga na kubomoa hoja, basi kama kweli unataka kuweka hoja ya kumuenzi mtu wa aina hii, inabidi ujiandae vizuri. fanya utafiti kidogo wa mambo ambayo ameyafanya. mfano mtoa mada amesema tu kwamba "Kama nikiorodhesha kazi alizofanya Lissu, nadhani the list will be endless, the list will be infinite" Mimi nadhani hapo hajamtendea haki kabisa kamanda Lissu. Hata Kamanda Lissu sidhani kama atafarijika kusoma andiko la aina hii. na kwa kuwa hapa ni "the home of Great Thinkers", nadhani tunatarajia kupata zaidi ya hii. Ni vizuri kama mtoa mada ange-"fanya homework yake"

2. Pengine kutokana na kutoijenga vizuri hoja yako, hata uchangiaji umekuwa dhaifu pia na imekuwa rahisi mjadala kupotea njia na kuingia "vichochoroni", ambapo watu wanajikuta wanazungumza kuhusu "uwepo wa Mungu" au "chama kilicholetwa na Mungu". Kuna mtu nimeona ametoa uchambuzi na kuhitimisha kwamba "this is theologically wrong". Nadhani kama hoja yako ingejaribu kutafiti kidogo, ungetupatia mahali pa kuanzia kujadili kazi za Lissu.

3. Nimejaribu ku-google kidogo na nimepata vitu vichache. Katika CV yake, inaonesha kwamba Lissu ni msomi wa kutosha kabisa, akiwa na shahada ya pili ya Sheria, LLM kutoka Uingereza, baada ya kuhitimu shahada ya kwanza ya sheria, LLB, katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam. pia inaonesha kwamba amekuwa mtafiti (Researcher) katika chama cha wanasheria wa mazingira (LEAT - Lawyers' Environmental Action Team), baadaye akawa mtafiti katika Taasisi ya Rasilimali ya dunia (WRI, world Resources Institute). baadaye akawa mkurugenzi katika LEAT. taarifa hizi zinatuonesha kwamba amekuwa na uzoefu mkubwa sana wa kitafiti katika mambo ya rasilimali, na hiyo inaonesha kwa nini amekuwa mwiba kwa makampuni ya madini yanayopora rasilimali za nchi yetu. anazo data. ana akili ya kujenga hoja. ana hasira kwa uzalendo wake wa hali ya juu. mtu wa aina hiyo ni hatari sana kwa mafisadi. Nilianza kumsikia Lissu alipokuwa LEAT, alikuwa na mwanasheria mwingine nimesahau jina lake. nilikuwa nafarijika sana kumsikia akijenga hoja zake.

4. katika vipindi vya TV, nimewahi kumsikia akihojiwa katika "Jenerali on Monday", ambapo alikuwa na mkataba mmoja na kampuni fulani la madini. alikuwa anauchambua mkataba huo, na kuna wakati Jenerali Ulimwengu alikuwa anapata wasiwasi kutokana na kwamba mikataba ile ni "siri".

5. mahali pengine nimeona vitu kama hivi:
Tanzania: Tundu Lissu Best Contributor in House

BY ALVAR MWAKYUSA, 28 APRIL 2011

THE Singida East Member of Parliament, Mr Tundu Lissu, was undeniably the best contributor during the just ended parliamentary session in Dodoma. The vocal MP hardly leaves any stone unturned when it gets to serious business.
"I take my time to read everything that I am supposed to, members of parliament from CCM hardly read anything," boasts the MP in an interview with some few reporters in his office in Dodoma. It is almost 8:30pm on Friday evening (April 15, 2011) and the MP is still as energetic as if he had just woken up.
source: http://allafrica.com/stories/201104290707.html


[TABLE="class: text, width: 100%"]
[TR]
[TD]TANZANIA: Lissu, six others in court

IPP Media: GUARDIAN
May 25th, 2011[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Singida East Member of Parliament Tundu Lissu and six other people yesterday appeared before a Tarime District court magistrate to answer charges of illegal entry into a mortuary and holding an unlawful meeting.

They were also charged with obstructing post-mortem on the dead bodies. They were denied bail and remanded in custody.

The charges relate to the North Mara Gold mine to the awaited burial of five Tarime district residents gunned down by Police.

Lissu was charged jointly with his assistants and Chadema Director of policy and research, Mwita Waitara.
Before Tarime resident magistrate, Yusto Ruboroga, the public prosecutor, Casmir Kiria alleged that on May 23 at 22 hours, the accused together entered a mortuary illegally.

In the second count, Kiria claimed that the accused gathered a meeting at the location without permit and the third count was that the accused had obstructed investigation on the dead bodies.
Kiria appealed to the court not to grant bail to the accused saying the move could endanger peace and incite relatives of the dead not to carry out burial services.

The prosecutor named the accused as Stanslaus Nyembea (33), Andason Chacha (35), Andrew Nyandu (63), Mwita Marwa (48), Bashir Seleman (35) and Ibrahim Juma Kimu(27).

However the accused led by Lissu rejected the charges by the prosecutor that they will incite relatives not bury the dead.

Magistrate Ruboroga adjourned the case to today, to allow him to go through court injunction requests before giving a ruling.

The accused appeared in court in the afternoon under tight police security led by Field Force Unit (FFU).
Eyewitnesses alleged that while disembarking from the vehicle which carried them; Lissu and Waitara were seen limping with some blood on their clothes.

The court denied them bail, causing relatives who had gone to the court grounds to protest.
Nyamagana Member of Parliament for Chadema, Ezekiel Wenje and the Musoma Mayor were among those who offered to bail out the accused.

In another development Police held four journalists, Chadema special seats Member of Parliament Esther Matiko and the opposition cadre John Heche for six hours, who posted their own bail before being released.

The journalists were arrested at Nyakunguru while heading to Kewanja village following reports that bodies of the four people gunned by police at Nyamongo had been dumped there.

The journalists are Berdina Nyakeke (Citizen), Anthony Mayunga (Mwananchi), Mabere Makubi (Channel Ten) and Anna Mrosso (Nipashe).

In Nyakunguru village, the reporters found the coffin with the body of one Emmanuel Magige dumped in the middle of the road.

Meanwhile Tarime/Rorya special Zone police commander, Constantine Massawe admitted before reporters in Tarime that police took bodies of four people and dumped them in various places.

CHADEMA which yesterday condemned the shootings as reckless had offered to make funeral and burial arrangements for the five, which was to take place yesterday, according to CHADEMA attorney Mabere Marando.

CHADEMA has called on the government to intervene before the situation in Tarime gets out of hand.
“I think something’s wrong in Tarime” said CHADEMA founder and former Party Chair Edwin Mtei, who called on government to do something about the situation to prevent the arrest of innocent people. “(This) issue is not as simple as the government is making it to be” he said.

Bob Makani, another former CHADEMA leader, asked the government to look into what Tarime residents want in order to bring about a solution to the North Mara problem. “I think the government should turn its eyes on Tarime and listen to the people…” he said.

The problem goes back to May 9, this year, when over 500 villagers forced their way into North Mara Gold Mine at Nyamongo, in what the police said was an attempt to steal gold concentrates from the premise.

Tarime/Rorya Special Zone police have been criticised for their heavy-handed response to the incident, during which five villagers were shot dead, and several others gravely injured.

source: Protest Barrick-:-TANZANIA: Lissu, six others in court

5. Ningependa tuwe na utaratibu wa kuweka kumbukumbu vizuri. ingependeza sana kama michango ya wabunge wale machachari ambao wanapigania hasa maslahi ya taifa, na siyo tu maslahi yao binafsi na majimbo yao, ingekuwa inarekodiwa na kuhifadhiwa.[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

 
Mungu bariki tanzania yangu na chama changu chadema.... Kweli i support u 150% God gave use leaders na akawapa akili yaku anzisha chadema... Let there be leader n there was lissu let there b a party that will stand for poor people like me n there was chadema.. Mungu wangu bariki chama changu na viongozi wake.... Kama chadema leo ingekuwa madarakani sijui kama marekani wangetupangia wht to do for obama's visit... Shit am so sad about this
 
Ukiwa CHADEMA unapewa uwezo wa Ziada na Mungu! Wewe angalia hata chadema ikisimamisha mgombea wa kawaida kwenye mtaa au kijiji lakini akiongea ukimsikiliza unaona kitu tofauti na wagombea wa CCM!
 
He is the black MOSES sent to redeem the poor oppressed Tanzanians. Yeyote anayempiga vita na alaaniwe.
 
Very True.
Ni hakika huyu Tundu Lissu ana kipawa fulani maalum kwa watanzania. Kiukweli Tundu Lissu anaipenda sana Tanzania, na alikuwa anaumia sana kuona watanzania wakinyonywa na kunyanyaswa kwenye nchi yao.

Mara ya kwanza nilimuona na kumfahamu Tundu Lissu 2002 kwenye mjadala fulani kuhusu madini, nilifurahi sana na kum-Admire namna alivyokuwa makini na mahiri. Niliwaambia watu niliokuwa nao pale kuwa huyu jamaa atafika mbali sana na kila mtu katika nchi hii atakuja kumfahamu na kumkubali.

Hongera sana Tundu Lissu, millions of Tanzanians are supporting you.

mjdala uliandaliwa na ITV kwenye kipindi cha kipima joto cha Mzee Masako,nami nilimuonea huko,alikuja na mzigo wa ushahidi pale,
 
Mungu bariki tanzania yangu na chama changu chadema.... Kweli i support u 150% God gave use leaders na akawapa akili yaku anzisha chadema... Let there be leader n there was lissu let there b a party that will stand for poor people like me n there was chadema.. Mungu wangu bariki chama changu na viongozi wake.... Kama chadema leo ingekuwa madarakani sijui kama marekani wangetupangia wht to do for obama's visit... Shit am so sad about this
Ndugu yangu hio ya OBAMA hata mimi imenishangaza. Watu mjini wanapuliziwa madawa live live bila kujali athari zake kwa afya zao kisa OBAMA, bara bara zinajengwa na zingine kufagiliwa kisa OBAMA, why cant you do it On a regular basis nasi tuone Tanzania safi, yenye miundombinu safi badala ya kusubiri wageni ndio tufanye usafi na kuua mbu???

Tanzania is a very special country in th universe. Bora sasa tumwalike OBAMA kila mwezi ili nchi ing'ae.
 
Mimi nakubaliana kwamba Tundu Lissu Ni mtu aliyejitofautisha sana na wengine wengi, hasa katika kizazi chetu hiki ambacho watu wengi sio makini. lakini sikubaliani na jinsi mtoa hoja alivyoleta hoja yake na pia jinsi uchangiaji ulivyoendelea.

Tazama na hii pia ni Kazi ya LISSU.
ENVIRONMENTAL IMPACT ASSESSMENT OF FOREIGN INVESTMENT PROJECTS



A Study in the Law, Policy and Governmental Decision-making in Tanzania*






March 1999
By Tundu Antiphas Lissu**
 
Hebu fikiria sawa sawa; Uchumi wa nchi gani duniani ulitegemea watu wenye Knowledege na uelewa wa mambo ya uchumi tu??? Mfano; wanansheria wabovu ama pengine sio wabovu ila wanatumika kisiasa na kusahau maslahi ya jumla ya nchi na kusaini mikataba mibovu ya madini ambayo kwa miaka 10 kamapuni inalipa Kodi 400B huku wafanyakazi wakilipa 500B.Huoni kama kama uchumi unahitaji fani mbali mbali ili ukue na si wanachumi pekee kama wewe unavyoamini??? Kama wanansheria wa serikali wangesaini mikataba kwa maslahi ya taifa na kisha wanauchumi wakasimamia mipango ya kukuza uchumi, huoni tungekuwa mbali sana???

'UCHUMI WOWOTE DUNIANI UNATEGEMEA KADA ZOTE ZA TAALUMA' USIKARIRI.
Ndio maana mimi pia sio mchumi ila nadhani nchi yangu ina wanasiasa wengi na wanasheria wengi zaidi kuliko wachumi, wahandiscetc ...matokeo yake tunadifiana kuwa wana-debate wazuri badala ya waketa maendeleo people bringing economical changes....

kuna mbunge fulani pale bungeni anaongea kila hoja lakini pumba tupu!
 
Tazama na hii pia ni Kazi ya LISSU.
ENVIRONMENTAL IMPACT ASSESSMENT OF FOREIGN INVESTMENT PROJECTS



A Study in the Law, Policy and Governmental Decision-making in Tanzania*






March 1999
By Tundu Antiphas Lissu**
You could well summarize as the best activisit ever!
 
Chama cha Mungu viongozi wao kazi yao kupora wake za watu.

Rtz hivi unavyo lalamika
huyo mke wa mtu aliyechukuliwa na chadema ni nani kwako aise inaonesha jinsi gani unavyo tokwa povu jibu hoja wewe lumumba ili uwe umechukua buku7 zako gamba litakuvuka tu
 
una tatizo kubwa..vipimo vya awali vya kupima utendaji wa mbunge..ni anavyowasilisha matatizo na changamoto zinazowakabili waliomchagua pale bungeni..kitu kingine ni namna anavyochangia masuala ya msingi yanayohusu mustakabali wa taifa,,yeye kazi kubwa anayofanya bungeni ni kutaka aonekane,yaani anauza sura mjengoni,ni msomi mzuri sana lakini aonyeshi umahiri wake kama wanasheria wengine waliopita mjengoni mfano Marando na Dr Lamwai..mpaka sasa hajaleta hoja yoyote ya msingi mjengoni,hana legacy,yeye anajua tu kutukana..na anapenda zaidi kushindana na serikali...kule jimboni kwake anawaambia wananchi wasilipe kodi..
 
Chama kilicho letwa na mungu chenye kiongozi alie msaliti mungu. Hii ni kali.

There are many way shows God is able,there are so many indication describes the presencf of Allah but its matter of time for the Almighty God to say be and it will be.
 
Back
Top Bottom