MAPUMA MIYOGA
JF-Expert Member
- Jan 30, 2013
- 3,792
- 2,370
Hata babu wa loliondo alisema kuwa alitumwa na mungu lakini kauwa watanzania kibao 😉Jaribuni kumuepusha mungu na mambo ya kipuuzi ya siasa, Lissu ni mwanasiasa wanasiasa wote ni waongo,wenye akili wameshawahi kusema siasa ni mchezo mchafu
Hujui babu wa Loliondo ulikuwa mkakati wa magamba kuwahamisha watanzania katika hoja za msingi. Angalia wakati ule walivyokuwa wamebanwa mbavu, washukuruni TISS waliwabeba na akina Mrema walishiriki na wakatoa na ushuhuda wa kupona visukari kumbe walishakula kodi zetu kupisha issue ya babu.