Kazi nzuri Tundu Lissu Antipas!

Kazi nzuri Tundu Lissu Antipas!

JK mwenyewe alisema ni bora upinzani (CHADEMA) uchukue /ongoze nchi kuliko TUNDU LISSU kuingia bungeni./??
unafikili alikuwa anamaanisha nini mkuu?
 
Niondoa hitikadi zangu ZA UCCM nikirudi kwenye uhalisia kweli TUNDU LISSU kama vile anaakili ya Ziada ,
 
Niondoa hitikadi zangu ZA UCCM nikirudi kwenye uhalisia kweli TUNDU LISSU kama vile anaakili ya Ziada ,
Tundu Lissu kila Position ya kwenye sheria anafit kuanzia Mwanasheria mkuu, Jaji Mkuu na Waziri wa Sheria huyu jamaa ni funika bovu
 
Mimi ni mwanachadema ila Kwa hoja hii ilivyokaa nakubaliana na wewe. Nawashangaa sana wanaompongeza bcoz kumwita ni alama ya uwepo wa Mungu it is blasphemy
literal meaning ya maneno "alama ya uwepo wa Mungu" may be blasphemy but I am sure mwandishi alikuwa na maana nzuri tu, km Mungu anaisaidia CHADEMA kupitia viongozi wake wenye kumtegemea, akiwepo TL. TL is just good and a special blessing to CDM.
 
Chama cha Mungu viongozi wao kazi yao kupora wake za watu.
Ndugu, hii ya kupora wake za watu tunayo wengi, hata kwenu wapo! Unakumbuka ya Kitwana Kondo? Kiula je?
 
Uwezo wa akili wa wanachadema ni mdogo sana hata lisu nae mnathubutu kumuita alama ya uwepo wa Mungu...ka

sasa wewe riz moko ns wizi wako wote na kukoswa kunyongwa kule china bado unaongea useng hapa ......
 
Pia nina wazo kama vp Kamanda Lissu afichwe somewhere for 2 Months, atuandikie Katiba Mpya ya Tanzania.
Wakuu Mnasemaje hili
 
Basi huyo Mungu atakuwa dhaifu sana amekubali Chadema kila siku kiwe chama cha upinzani.

Pia nina wazo kama vp Kamanda Lissu afichwe somewhere for 2 Months, atuandikie Katiba Mpya ya Tanzania.
Wakuu Mnasemaje hili
 
Wakuu JF, Amani iwe nanyi.

Mara nyingi sana nikiwaga Namuangalia Lissu, the way anavyojengaga Hoja, the way anavyopanguaga Hoja, hasa hasa zile Hoja za kutungwa na watu wenye Roho za Kishetani, sina haja ya Kuwataja, Mnawafahamu nina Uhakika,the way anavyojielezea Mbele za Watu na Mbele ya Kadamnasi kwa Ujumla.
Na Pia, Kila nikiangalia Kazi za Mikono ya na Kichwa cha Lissu, Matokeo yake yanadhihirisha Huyu Kamanda ametumwa na Mungu.
Kama nikiorodhesha Kazi alizo zifanya Lissu, Nadhani the list will be endless, the list will be infinite.

Ila Hawataubadilisha ukweli ulio wazi kuwa, Tundu Antipasi M Lissu ni Alama ya Uwepo wa MUNGU CHADEMA , Tanzania na Duniani kwa Ujumla

tindu lisu utuambie kesi ya nyamongo ulisimama kwa maslahi ya wananchi au mzungu?
maana mpaka leo mzungu anapeta na mbongo hana jipya na watu wameshakufa.

au ilikuwa ni mbinu ya kumisconsepting the civil object?
 
Huyu lisu bwana! Nafikili huwa pale bungen nao wakat mwngne wanamshangaa! Ana uwezo wa kujenga hoja nzur ingawa pengine kama kawaida hoja zake huishia kupgwa kapun na kiti cha kiranja mkuu! Lakn hakka anampa shida sana naibu spika! Mpaka mda mwngne anataman hata kulia kabsa!
 
Twende mbele au turudi nyuma, Tundu Lissu(Mwanasheria, Mbunge wa Singida-Mashariki, Mnadhimu mkuu wa kambi ya Upinzani Bungeni) sio mtu wa kawaida kabisa hapa Tanzania.
Iwe bungeni, Mahakamani, Majukwaani au kwenye Midahaho huyu jamaa ameonyesha Weredi, Umakini na Msimamo imara sana.

Ninapenda kukiri wazi kuwa huyu jamaa ni tunu muhimu sana kwa taifa letu pasipo kujali itikadi zetu za kisiasa.
Nikitazama mbele ninaona kitu kizuri kikubwa sana juu ya harakati zake.

Ninamtakia mafanikio mema katika maisha yake na harakati zake daima.
''Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni''
 
kila la heri kamanda Tundu Lissu.

unaandika historia,
vitukuu watakusoma kama mfano bora wa kuigwa kwenye kusimamia haki na usawa.
 
Back
Top Bottom