Kazi nzuri Tundu Lissu Antipas!

Kazi nzuri Tundu Lissu Antipas!

Ndege wafananao huruka pamoja.
Na WAVUTA BANGI HUFANANA MITAZAMO......
Amevuka mstari mtakatifu. Kamwe hatabaki salama. Uzuri in kwamba pamoja na Bangi zake(lisu) lakini analijua hili.
Haijalishi mtampamba kiasi gani...... Lakini kinyesi hakiwezi kugeuka keki kwa sababu tu kimezungushiwa maua.
Maisha(ya kisiasa na kiroho) ya huyu jamaa yamefikia ukingoni.
Hatuna muda wa kusubiri
 
kinachoendelea hapa ni kama cha BMLK wanavyofanya WALIO WENGI hawaping kwa fact
Mi sijamuona anayempnga Lissu kana na fact yeyote.
Mi niko kati nasubr fact nitoe matokeo yangu
 
Swala la unabii tuliweke pembeni kwanza. Ni sifa asostahili.
lakini Lisu anajua kufanya anachofanya, hakika.
 
Lissu ni mbumbu, mchonganishi na mnafiki. Simpendi simpendi na 2015 akose tu ubunge. Ana akili za ki limbukeni limbukeni.
 
I like it xooooooooooo mmmwaaaaaaah. Chdm ni tishio kwa ccm ndo maana wameamua kuporomosha matusi
 
Kwa akili aizonazo ningependa awekwe kama wakili kwenye mgogoro wa ziwa Nyasa
 
na huyo kiongoz kama una mahaba nae pia nenda akakushugulikie huwezi kuwa unashabikia upuuzi wa kiasi hiki

Inaonekana huo mchezo waupenda sana Veve.
Iko pelekea wale Interahamwe.
Sisi hapana tumia hiyo kitu.
Sisi nakula kitu swafi sio chafu chafu kama yako
 
Wakuu JF, Amani iwe nanyi.

Mara nyingi sana nikiwaga Namuangalia Lissu, the way anavyojengaga Hoja, the way anavyopanguaga Hoja, hasa hasa zile Hoja za kutungwa na watu wenye Roho za Kishetani, sina haja ya Kuwataja, Mnawafahamu nina Uhakika,the way anavyojielezea Mbele za Watu na Mbele ya Kadamnasi kwa Ujumla.
Na Pia, Kila nikiangalia Kazi za Mikono ya na Kichwa cha Lissu, Matokeo yake yanadhihirisha Huyu Kamanda ametumwa na Mungu.
Kama nikiorodhesha Kazi alizo zifanya Lissu, Nadhani the list will be endless, the list will be infinite.

Ila Hawataubadilisha ukweli ulio wazi kuwa, Tundu Antipasi M Lissu ni Alama ya Uwepo wa MUNGU CHADEMA , Tanzania na Duniani kwa Ujumla

=================================
Hili la Dodoma linazidi kunifanya niamini kuwa Lissu ni Zaid ya Nabii kwa wa Tanzania

=================================

Ushahidi zaidi.
=======================

Kwa yanayojiri Dodoma kwa wale tunaofuatilia Bunge Maalum la Katiba bila kuweka ushabiki na unazi wa Kichama.
Huyu Jamaa ni Nguli na Gwiji Kabisa katika tasnia ya Sheria, ameonesha kuzielewa,kuzi mastaer na kuweza kuzi tafsiri vyema kabisa kanuni za uendehsaji wa Bunge la katiba based on Sheria ya Mabadiliko ya Katiba.
Lissu ameendelea kuwafumbua macho watu wengi waliokuwa wanashadadia kwenye kupitisha vifungu vya Kipuuzi kabisa kwenye Sheria ya Mabadiliko ya Katba bila kujua Madhara yake kwenye utekelezaji.

Tafadhali wataje wanaoshadadia kupitisha vifungu vya kipuuzi.... Plzz
 
Lissu ni mbumbu, mchonganishi na mnafiki. Simpendi simpendi na 2015 akose tu ubunge. Ana akili za ki limbukeni limbukeni.

duuh yani hapa umeongea kishangazi shangazi kweli teh teh teh are u GT ?
 
Wenye uwezo wa kufikiri ni wakina nani??

Nakataa kwa herufi kubwa. Lissu siyo mropokaji. Waropokaji ni wale wote wanaomtukana Warioba kama Warioba wakisahau kuwa yeye alikuwa tu mwenye kiti wa ile tume. Nawataka watukane tume yote and not to single out Warioba.
 
Back
Top Bottom