Kazi nzuri Tundu Lissu Antipas!

Kazi nzuri Tundu Lissu Antipas!

Namkubali lisu asilimia milioni moja siyo kama kihiyo mwakyembe jana kajiuma sana bungeni bila kupangua tuhuma kuwa amekana maandiko yake aliyoyapatia phd hakugusia zaidi ya kumrushia lisu vijembe kweli kuhishiwa kubaya
 
Ukiachilia mbali mapungufu yake binafsi; Ni ukweli usiopingika kuwa kwa sasa na miaka michache iliyopita Tundu Lissu ndiye Mwanasiasa binafsi kutoka vyama vyote ( tawala + upinzani) Tanzania mwenye uwezo mkubwa wa kujenga hoja nzito hasa za kisheria,kufafanua na kutetea.

Ingawa tuna hisia tofauti ktk kila jambo ila hoja za jamaa kuzielewa si rahisi na usipo zifikilia kwa upana wake lazima uta hitimisha kuwa jamaa anabwata.

Kwa walio msikiliza vzr jaji Warioba toka wk iliyopita hadi wk hii na kufatilia mchakato mzima wa bunge la katiba hakika mtakubaliana nami kuwa anachokisema Tundu Lissu ni sawa.

Rai yng ni kuwa Kwa sasa hamna ukawa pasipo Tundu Lissu, 3/4 ya mambo ya rasimu ya katiba kuhusu muungano yanategemea Arguments za jamaa na amekuwa prominent figure kwa watu wote sio tu kwa wanasiasa wenzie,pia viongozi, wasomi, mbaya zaidi hadi kwa wananchi wa kawaida kama sisi ktk swala hili la katiba.

Kwa ufuasi na ushawishi huu alio nao hakika siku moja atachangia kuijenga au kuibomoa Tanzania.
 
Faida ya kuandika utumbo unaiona? Hakuna comments wala likes! Jifunze kuandika kitu chenye kuleta maana siyo ukishiba ugali wa baba na mama ndio unaanza kuandika uharo!

Pole sana kijana, ukikua lazima utakuwa mchawi au utakuwa na tabia kama za mbunge wa Arusha nae alianza Kama wee hivi!
 
Akili yako inamatatizo Lisu anakitu gani cha kujenga tanzania kwanza hiyo akili hana lakini pia hata busara za kawaida tu hana.
 
Faida ya kuandika utumbo unaiona? Hakuna comments wala likes! Jifunze kuandika kitu chenye kuleta maana siyo ukishiba ugali wa baba na mama ndio unaanza kuandika uharo!

Pole sana kijana, ukikua lazima utakuwa mchawi au utakuwa na tabia kama za mbunge wa Arusha nae alianza Kama wee hivi!
Bavicha wengi ndivyo walivyo huandika mambo ya ajabu kweli ilimradi kaandika hawa watu ni vituko kweli.
 
Faida ya kuandika utumbo unaiona? Hakuna comments wala likes! Jifunze kuandika kitu chenye kuleta maana siyo ukishiba ugali wa baba na mama ndio unaanza kuandika uharo!

Pole sana kijana, ukikua lazima utakuwa mchawi au utakuwa na tabia kama za mbunge wa Arusha nae alianza Kama wee hivi!

unachapwa nao wewe
 
Haya furahi wewe na wenzako,mwenye akili na busara kupita watanzania wote ni Nnape!Ninavyo jua mimi kila mtu ni mshabiki wa mtu mwingine,sasa kama mtu anaeleza mawazo yake nakuishia kupewa maneno ya kuudhi nayo nibusara ya aina yake! Japo wenzangu mtanisaidia,hiyo ni busara chanya au hasi?
 
Ukiachilia mbali mapungufu yake binafsi; Ni ukweli usiopingika kuwa kwa sasa na miaka michache iliyopita Tundu Lisu ndiye Mwanasiasa binafsi kutoka vyama vyote ( tawala + upinzani) Tanzania mwenye uwezo mkubwa wa kujenga hoja nzito hasa za kisheria,kufafanua na kutetea.
Ingawa 2na hisia tofaut ktk kila jambo ila hoja za jamaa kuzielewa si rahisi na usipo zifikilia kwa upana wake lazima uta hitimisha kuwa jamaa anabwata.
Kwa walio msikiliza vzr jaji warioba toka wk iliyo pita hadi wk hii na kufatilia mchakato mzima wa bunge la katiba hakika mtakubaliana nami kuwa anacho kisema Tundu Lisu ni sawa.
Rai yng ni kuwa Kwa sasa hamna ukawa pasipo Tundu lisu, 3/4 ya mambo ya rasimu ya katiba kuhusu muungano yanategemea Arguments za jamaa na amekuwa prominent figure kwa w2 wote sio tu kwa wanasiasa wenzie,pia viongozi,wasomi, mbaya zaidi hadi kwa wananchi wa kawaida kama sisi ktk swala hili la katiba. Kwa ufuasi na ushawishi huu alio nao hakika siku moja atachangia kuijenga au kuibomoa Tanzania.

Hivi kweli lisu nae unaweza ukamwita ni nguli wa siasa za nchi yetu? Kwa lipi alilolifanya watu wakafaidika kwakile alichosema? Naona tumefaidika na matusi mwanasiasa mwenyewe hata kwenye jimbo lake tu yupo hoyi kazi kukimbilia kufanya mikutano kwenye majimbo ya wenzake wakayi kwake tu hafanyi na hakubaliki sasa www unamleta kitaifa shibe mbaya sana
 
Naona tumefaidika na matusi

Nakubaliana nawe kua Lisu sio nguli wa siasa za tz. Lakini pia kuondoa unafiki nitajie matusi ambayo Lisu amepata kuyatamka bungeni au nje ya bunge na alimtukana nani.

Shida yangu ni kutaka kujua matusi tu ya Lisu.
 
Huo ndo ukweli, asiotaka kuusikia azibe masikio! Lissu ni mzalendo,mwadilifu, nguli wa sheria na sio mnafiki hata kidogo!
 
Nilitabiri kwamba mwanasiasa atakayengwa na mchakato wa katiba ni Lissu.
 
Haya furahi wewe na wenzako,mwenye akili na busara kupita watanzania wote ni Nnape!Ninavyo jua mimi kila mtu ni mshabiki wa mtu mwingine,sasa kama mtu anaeleza mawazo yake nakuishia kupewa maneno ya kuudhi nayo nibusara ya aina yake! Japo wenzangu mtanisaidia,hiyo ni busara chanya au hasi?

Umemtaja Nnape nikakumbuka kipaji chake cha kuzungumza kwa kulazimisha sauti itoke kwa nguvu kama Mchungaji, sijui ni dini gani yule bwana lakini Uchungaji ungemfaa sana, sio kazi za kutumia ubongo Nnape haziwezi
 
Ukiachilia mbali mapungufu yake binafsi; Ni ukweli usiopingika kuwa kwa sasa na miaka michache iliyopita Tundu Lissu ndiye Mwanasiasa binafsi kutoka vyama vyote ( tawala + upinzani) Tanzania mwenye uwezo mkubwa wa kujenga hoja nzito hasa za kisheria,kufafanua na kutetea.

Ingawa tuna hisia tofauti ktk kila jambo ila hoja za jamaa kuzielewa si rahisi na usipo zifikilia kwa upana wake lazima uta hitimisha kuwa jamaa anabwata.

Kwa walio msikiliza vzr jaji Warioba toka wk iliyopita hadi wk hii na kufatilia mchakato mzima wa bunge la katiba hakika mtakubaliana nami kuwa anachokisema Tundu Lissu ni sawa.

Rai yng ni kuwa Kwa sasa hamna ukawa pasipo Tundu Lissu, 3/4 ya mambo ya rasimu ya katiba kuhusu muungano yanategemea Arguments za jamaa na amekuwa prominent figure kwa watu wote sio tu kwa wanasiasa wenzie,pia viongozi, wasomi, mbaya zaidi hadi kwa wananchi wa kawaida kama sisi ktk swala hili la katiba.

Kwa ufuasi na ushawishi huu alio nao hakika siku moja atachangia kuijenga au kuibomoa Tanzania.

tatizo la wau wenye akili ndogo hujadili watu badala ya issues, mbona husemi kuwa alipoteza bure muda wa bunge maalum na wananchi pale alipodai hati ya muungano haipo kumbe ilikuwepo
 
Tundu lisu bado sana!
 
Tundu kama tundu hana lolote na hakuna hoja aliyotoa zaidi ya uchochezi, elimu yake ndogo hata walimu wake wamemdharau, alikuwepo Masumbuko Lamwai huyo kweli likuwa anatoa hoja za kisheria huyu ni njaa tu.
 
Tundu Lisu yupo vizuri ndiyo maana magamba yalitetemeka mara tu alivyoonyesha nia ya kujihusisha na siasa. Hata kwenye kujadili kanuni za BMK kichaa wenu Sendeka alimpigia saluti. Kikwete nae alitahadharisha ujio wa Lissu bungeni mwaka 2010.
Mkubali mkatae TL CCM mnamuogoka kama ukoma ndio maana baada ya kumwaga pilipili bungeni nyoka(articles of union) mlimtoa pangoni japo joka lenyewe la kibisa.
 
Ukiachilia mbali mapungufu yake binafsi; Ni ukweli usiopingika kuwa kwa sasa na miaka michache iliyopita Tundu Lissu ndiye Mwanasiasa binafsi kutoka vyama vyote ( tawala + upinzani) Tanzania mwenye uwezo mkubwa wa kujenga hoja nzito hasa za kisheria,kufafanua na kutetea.

Ingawa tuna hisia tofauti ktk kila jambo ila hoja za jamaa kuzielewa si rahisi na usipo zifikilia kwa upana wake lazima uta hitimisha kuwa jamaa anabwata.

Kwa walio msikiliza vzr jaji Warioba toka wk iliyopita hadi wk hii na kufatilia mchakato mzima wa bunge la katiba hakika mtakubaliana nami kuwa anachokisema Tundu Lissu ni sawa.

Rai yng ni kuwa Kwa sasa hamna ukawa pasipo Tundu Lissu, 3/4 ya mambo ya rasimu ya katiba kuhusu muungano yanategemea Arguments za jamaa na amekuwa prominent figure kwa watu wote sio tu kwa wanasiasa wenzie,pia viongozi, wasomi, mbaya zaidi hadi kwa wananchi wa kawaida kama sisi ktk swala hili la katiba.

Kwa ufuasi na ushawishi huu alio nao hakika siku moja atachangia kuijenga au kuibomoa Tanzania.

huu Ni uhayawani,huyu kichaaa mropokaji atashabikiwa na akili za Bavicha tuuu
 
Back
Top Bottom