Kazi ndo kwanza inaanza: Madaktari 11 watimuliwa dodoma

hyo nguvu ya soda tu, wanashindwa kuwalipa wazawa wataweza kuwalipa hao wagen, wasitishie kujamba wakat wanaendesha

SASA LIMEKUWA.....Asubuhi hii Intern Drs 11 waliokuwa wamegoma wametimuliwa kazi katika Haospitali ya mkoa wa Dodoma...........Haya yanategemewa pia katika hospitali nyingine zote zilizogoma!

My take:
-Moto hauzimwi kwa petrol, sasa ni vita rasmi kati ya serikali na madaktari
-Ikumbukwe kwamba chokochoko zote hizi zilianzia kwa Intern Drs, nahisi makubwa zaidi!

Uboreshaji wa tanzania unaweza kutimizwa kwa matendo safi na mema, kwa mwenendo usifikao na unaositahili.

Hii safi sana, wakagome majumbani kwao.

Katika morden Human Resource tunajua survival ya wafanyakazi haitakuwa katika kujikita katika kazi moja tu unayoimudu kwa umahiri bali ni job spread ili wakati wowote unaweza kufanya kazi za aina mbali mbali. Hata hivyo mashirika mengi ya makubwa yanaacha kuwachukua watu moja kwa moja, yanawahitaji wafanyakazi watakao patikana wanapohitajika tu. Hivyo hakuna tena kitisho cha kufukuzana kazi, Dr anaweza kuwa dreva wa basi, anaweza kuwa mwalimu katika chuo au shule. Mfano Dr akiongeza ujuzi kidogo wa mbinu za ufundishaji anaweza kuwa mwalimu. Dr ana uwezo wa kuwa mwandishi wa habari za afya akiongeza ujuzi wa uandishi nk nk. Hivyo nilionalo mimi ni kuwapa madaktari mbinu ya career expansion. After all they are very intelligent!

Wewe ni wa Ogaden?

SASA LIMEKUWA.....Asubuhi hii Intern Drs 11 waliokuwa wamegoma wametimuliwa kazi katika Haospitali ya mkoa wa Dodoma...........Haya yanategemewa pia katika hospitali nyingine zote zilizogoma!

My take:

-Moto hauzimwi kwa petrol, sasa ni vita rasmi kati ya serikali na madaktari

-Ikumbukwe kwamba chokochoko zote hizi zilianzia kwa Intern Drs, nahisi makubwa zaidi![/QUOTE

Safi sana! Mgomo wa madktari uliua ndugu yangu, timua tu, ni bora tujue hatuna madaktari nchi hii ili tumwombe mungu atuponeshe kwa magonjwa yatayotujia, kwanza watu wenyewe wanapeleka madawa ya serikali kenye dispensari zao.''shame on you son of devil!i hate unreasonable and inprudence person with skylimited mind of reasoning,to trace the death of ur relative u have to look into the root of the problem rather than the problem at its face,a silly president leading a silly government dominanated by idiotic politicians from silly party (ccm) always takes wrong action at wrong time in which brings instability and economic volatilation in which death and suffarance of the citizens is unavoidable,furthermore corruption,imbalances of income as well as natural resouces sharing are honey and celebration of the silly party  in which the class of workers of which doctors are  listed within will stand firm enough to block such system so as to make changes.A way to development is catalysed by struggle btn  exploitative class inpower against exploited working class.kijana jipange ndo uje jf

Safi sana! Mgomo wa madktari uliua ndugu yangu, timua tu, ni bora tujue hatuna madaktari nchi hii ili tumwombe mungu atuponeshe kwa magonjwa yatayotujia, kwanza watu wenyewe wanapeleka madawa ya serikali kenye dispensari
''shame on you son of devil!i hate unreasonable and inprudence person with skylimited mind of reasoning,to trace the death of ur relative u have to look into the root of the problem rather than the problem at its face,a silly president leading a silly government dominanated by idiotic politicians from silly party (ccm) always takes wrong action at wrong time in which brings instability and economic volatility in which death and sufferance of the citizens is unavoidable,furthermore corruption,imbalances of income as well as natural resources sharing are honey and celebration of the silly party (ccm) in which the class of workers of which doctors are listed within will stand firm enough to block such corruptive system dominated by managers not leaders so as to make changes.A way to development is catalysed by struggle btn exploitative class inpower against exploited working class.kijana jipange ndo uje jf

Back
Top Bottom