Kazi ndo kwanza inaanza: Madaktari 11 watimuliwa dodoma

SASA LIMEKUWA.....Asubuhi hii Intern Drs 11 waliokuwa wamegoma wametimuliwa kazi katika Haospitali ya mkoa wa Dodoma...........Haya yanategemewa pia katika hospitali nyingine zote zilizogoma!

My take:
-Moto hauzimwi kwa petrol, sasa ni vita rasmi kati ya serikali na madaktari
-Ikumbukwe kwamba chokochoko zote hizi zilianzia kwa Intern Drs, nahisi makubwa zaidi![/QUOTE

Safi sana! Mgomo wa madktari uliua ndugu yangu, timua tu, ni bora tujue hatuna madaktari nchi hii ili tumwombe mungu atuponeshe kwa magonjwa yatayotujia, kwanza watu wenyewe wanapeleka madawa ya serikali kenye dispensari zao.

acha ujinga weee huyo ndugu yako alijipangia na siku ya kuzaliwa, nani kasema anayetibiwa hafi.... amka chizi wewe kila mtu anakufa tu..... nawe utakufa tuuu hata kwa kuchomwa mwiba.
 
Kuna baadhi ya watu tukisema ilibidi wawe Gombe hamtuelewi!

LIWALO NA LIWE ni neno la magombe huko msituni.

Mkuu mimi Gombe siitaji tena! Baba v alinambia anatumikia ban kwa kumtaja mzee wa gombe! LIWALO NA LIWE,
 
Hahaha!! mtawarudisha tu,chezea daktari wewe pinda hujui umuhinmu wake au sababu ninyi mtaenda india mkiumwa!!
 
Ingekuwa enzi za mwalimu wote hao waliogoma chapa viboko mbele ya wake/waume na watoto zao nyambaff
 
SASA LIMEKUWA.....Asubuhi hii Intern Drs 11 waliokuwa wamegoma wametimuliwa kazi katika Haospitali ya mkoa wa Dodoma...........Haya yanategemewa pia katika hospitali nyingine zote zilizogoma!My take:-Moto hauzimwi kwa petrol, sasa ni vita rasmi kati ya serikali na madaktari-Ikumbukwe kwamba chokochoko zote hizi zilianzia kwa Intern Drs, nahisi makubwa zaidi![/QUOTESafi sana! Mgomo wa madktari uliua ndugu yangu, timua tu, ni bora tujue hatuna madaktari nchi hii ili tumwombe mungu atuponeshe kwa magonjwa yatayotujia, kwanza watu wenyewe wanapeleka madawa ya serikali kenye dispensari zao.
Ndugu yako asingekufa?????
 
Hivi kwanini serikali haitaki kujifunza?
Hii inaipotezea uhalali wa kutawala,kwani ina dhamana ya kujali na kutunza afya za watanzania!
Ee Mungu tusaidie sisi watanzania!
Mungu ibariki Tanzania.

Kwa haya yanayoendelea ya kunyanyasana na watu kutumia mabavu unadhani Mungu ataibariki TZ? THUBUTUU! Kila kukicha na laana tu. Tuombe atakase uovu kwanza
 
Viongozi wa Nchi hi bwana maslahi kwa wenzao wanaona kama adui wa taifa gusa ya kwao uone
 
Back
Top Bottom