Viva Tanganyika
Member
- Jan 5, 2017
- 57
- 27
Ushahid uko wapi,harafu mbona umesema wachache sana,ungesema class nzima(ukwel unauma)KAMPANI YANGU YA WATU 7 YA KULA KITIMOTO WAKATI NIPO CHUO MKRISTO NILIKUWA PEKE YANGU
Hapo umemaliza mjadala.Sasa kama havikatazi mbona madhehebu mengine hatuoni wakinywa pombe nyuma ya kanisa
Mbona kuna familia baba na mama wote wanakunywa pombe na wanalea watoto.Mi nadhani wakapimwe mkojo tu hamna namna nyingine. Eti ndio wa kuwaamini hawa na kuwaachia watoto wafundishwe nao, ni hatari sana.
Hii dini sio kabisa kila mkiambiwa hamuelewi oneni sasa hayo mambo. Mtaamka lini kutoka usingizini Jamani.
Mapadre nao wanafungisha ndoa za mashoga kwa kweli hii dini hii. Mmh.
Hatarious.
Kwani ukila lazima uvimbilweSio mtaalam wa pombe,ila hapo kwenye kunywa harafu usilewe hapo ndipo mashaka yangu yalipo
Kitabu ganiHivi vitabu vya dini wanavyo tufundishia sivinakataza yani hapa ndio dini unaona usanii.
Mm naona walewe tuu,maaana hamna namnaKwani ukila lazima uvimbilwe
mh! mh! mh!
Ni haki yake kwani anatakiwa kula madhabahuni.Mara paaaaaaaaaaap...
Sadaka za waumini zileeeeeeeee
Siyo mtalaam wa graphics but I have a feeling kwamba wataalamu wame temper na hizo picha.Inawezekana kabisa comments na judgments ziko based on wrong premise, if my feelings are correct.Karibuni watu wa graphics kwa professional inputs.
Kwahyo..????.
Usisahau kanuni za bia bro,
Safari moja huanzisha nyingine...
Hilo suala la imani ya mwenzako kuiita ujinga ndipo penye tatizo. Mimi haikua suala kutetea. Ilikuwa kufahamisha ya kuwa kwa imani RC pombe sio tatizo kama wengi wetu humu tunavyofikiri. Kama ni ujinga sio ujinga mimi simo cha msingi ni kuheshi imani ya mwenzako. Kwa sababu kama ni ujinga na yeye anakuona wewe mjinga kwa kuharamisha pombe. Na labda nidokeze hapa kwamba RC ndio kanisa kogwe kuliko makanisa yote duniani na ndio kanisa lenye wafuasi wengi duniani dhidi ya madhehebu zote duniani. Kwa hiyo hao unaowaona wajinga ndio wengi duniani vile ndio kanisa mama duniani ambayo kwake hayo madhehebu mengine unayoyasema yameibuka. Kama upo katika madhehebu ya Kikristo na kuona kuwa RC ni wajinga ni sawa na mtoto, awe amekua au bado mtoto kuwaona wazazi wake wajinga. Pamoja na yote common factor inayo determine au kuunganisha madhehebu za Kristo sio pombe.Kuna vitu common kwa dini na madhehebu yote acha kutetea ujinga
Na wewe pamoja na mwanao ni waasherati/wadhinifu. So sishangai!!!Kuna mwanangu mmoja alishawahi kuwagegeda sana Ma-sister wa kanisa so,sishangai!
Tofautisha kulewa na KunywaMm naona walewe tuu,maaana hamna namna
Acha walewe,huwez kula mbunye pasipo kutema wazunguTofautisha kulewa na Kunywahivi kila anayekula ni mlafi
Kwa hiyo kwako wewe kileo ni pombe tu, mnapoimba madaraka ya kulevya napo huwa mnamaanisha nini? Mtu anaweza kulewa chochote, ilimradi amezidisha kiasi.Na biblia inasema usimpe Jirani yako kileo. Pombe ni dhambi ni sawa na mtu afanye zinaa kisha aseme lakini sijafumaniwa au sijapatwa na ugojwa was zinaa. Biblia ikisema ulevi ni dhambi ni dhambi hakuna cha askofu, nabii, mtume, mtume na nabii, mchungaji, mchungaji Kiongozi, padre, kadinari , Papa, babu wa loliondo au malaika anayeweza kubadilisha hilo. Na walevi hawataingia ktk uzima was milele period.
Nilikuwa nafuatilia mada ila ukija kitu ambacho ni cha kizushi sitokaa kimya, huu ni uongo na ni upumbavu. Kama unatafuta njia ya kuweza kushawishi watu wajiunge na imani unayoifuata, jaribu kuhubiri na kuonesha umuhimu wa neno lako si kusambaza uzushi.nyumba yako ya vioo unafanya mchezo wa kurushiana mawe