Satuuuu
JF-Expert Member
- Dec 3, 2015
- 1,849
- 1,994
Nini maana ya neno ulevi ? Je Biblia haikatazi Ulafi ? Je nini maana ya Ulafi ? Kwahio binadamu wasile chakula kwatafsiri yako itakua sawa na kwamba ukila chakula ni ulafi kama ukinywa ni ulevi !!!!!!Na biblia inasema usimpe Jirani yako kileo. Pombe ni dhambi ni sawa na mtu afanye zinaa kisha aseme lakini sijafumaniwa au sijapatwa na ugojwa was zinaa. Biblia ikisema ulevi ni dhambi ni dhambi hakuna cha askofu, nabii, mtume, mtume na nabii, mchungaji, mchungaji Kiongozi, padre, kadinari , Papa, babu wa loliondo au malaika anayeweza kubadilisha hilo. Na walevi hawataingia ktk uzima was milele period.
Ulevi - kunywa pombe kupita kiasi
hiyo ni picha na hata wewe Unaweza kuvaa nguo kama hizo au kanzu na baragashia kwa malengi yako..ndio sababu nikakupa changamoto hiyo...nini kinacho kusibu!?
hiyo Amri ameibadilisha lini na kuruhusu kuua