Kazi ipo .....

ALLEX

JF-Expert Member
Mar 15, 2011
2,006
343
MTINDI.jpg

sasa na huyu babu wakiendele kuishi na zigo ndiyo hiloo machweo sijuwi atalala ili aweze kuweka rekodi zake sawa...
 
sijaipenda hii. hawa ni mama zetu jamani kwa nini tuwadharau hivi? ukichukulia sisi ndo tumenyonya hapo tukiwa watoto kwa miaka miwili, sasa inakuwaje leo nimdhihaki mama yangu kiasi hiki. tuepuke laana jamani!!!!
 
Kuna wakati unaongea point mwanafunzi wangu acha tuu
 
Kuna wakati unaongea point mwanafunzi wangu acha tuu
Teacher kwa hilo nawaheshimu sana wamama! mwanangu alipokuwa mdogo nilipenda sana kumbeba km tunakwenda kanisani au hospitali au outing, sasa mkifika ile destination utaona ile mikono ina vibrate huna hamu tena, sasa unamkuta maza anauza machungwa kamweka mwanaye mgongoni anakatiza toka magomeni hadi mwenge imagine huyo ndo mamaako kakusomesha kwa dizaini hiyo, leo hii unamdhihaki hivyo!! tutubu dhambi zetu na mungu atatuweka huru!!!!!
 
jamani tatizo nini mbona mnakuwa wakali namna hiyo... Nilijuwa mngesema mchina kafanya kazi yake..
 
Hivi kweli uko serious unaweka picha kama hiyo hapa, huu ni udhalilishaji mkubwa sana kwa akina mama, weka kengele za baba yako nazo ziwekewe scale. sorry for this, nimekwazika.
 
Hivi kweli uko serious unaweka picha kama hiyo hapa, huu ni udhalilishaji mkubwa sana kwa akina mama, weka kengele za baba yako nazo ziwekewe scale. sorry for this, nimekwazika.

bahati mbaya niliokotwa sina baba naomba nije kwenu tupate hizo za baba yako...
 
Preta ni mambo ya kuweka takwimu tu hahaha!

sasa uporoto mpenzi......swala la takwimu ndani ya nyumba likianza itakuwaje?.......tuseme na mimi naanza kupima maeneo fulani ya mzee toka tukiwa mayanki hadi kufikia umri kama wa huyo mama hapo kwenye picha......huoni tutaishia pabaya?.......we fikiria tuu.......maana huwezi kuniambia sehemu za wababa nazo huwa mwanzo mwisho mdundo ni ule ule.....nehiii.....nimekataa
 
Back
Top Bottom