Ukimtoa Paul Makonda hao wengine geresha?

Filosofia ya Rorya

JF-Expert Member
Sep 20, 2021
3,214
3,587
Ukimtoa Paul Christian Makonda PCM, hao wengine wanahani geresha au kweli toka moyoni? Tazama reel hiyo.

====
ASANTE SANA JPM KWA UTUMISHI WAKO NA SASA KAZI INAENDELEA

Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo Ndugu Paul Makonda ametembelea na kuweka mashada pamoja na kufanya sala katika kaburi la aliyekuwa Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Awamu ya Tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Dkt. John Pombe Joseph Magufuli leo tarehe 10 Novemba 2023.

Komredi Paul Makonda katika dua yake amebainisha kuwa amepewa kazi na Dkt. Samia Suluhu Hassan na ataifanya kwa weledi na uaminifu mkubwa.

Sambamba na hayo, Komredi Paul Makonda atalala Chato siku ya leo.
 
Back
Top Bottom