Kazi ipo .....

Kazi ipo .....

jamani tatizo nini mbona mnakuwa wakali namna hiyo... Nilijuwa mngesema mchina kafanya kazi yake..
unataka watu wawaze kama unavyotaka? Halafu sio kila unachoweka kwa mzaha wengine watachukulia kwa mzaha, mchina mchina kukariri kumezidi
 
bahati mbaya niliokotwa sina baba naomba nije kwenu tupate hizo za baba yako...

hakuna ubishi, kwa jinsi unavyoandika kweli wewe uliokotwa! Nawahurumia wazazi wako kwa unavyowakosea adabu!
 
Back
Top Bottom