Kazi hizi hufanya Wanaume wengi kula tunda kimasihara

Wachungaji / ma ustadh / waganga feki - wanawake wengi sana wanasukumwa na Imani na ndio maana idadi yao ni kubwa kanisani, kwa waganga na wanaoenda kwa maustadh kwa tiba, matatizo Yao huwa kwenye uzazi,
Usiwasahau mawakal wa mitandao
 
Daah! Kumbe maisha bado mazuri sana, mpaka sie ma DJs tumesahaurika na mtoa mada.
 
Maphotographer umetuachaje
Kawasahau hadi ma directors wa movies na wale wanao shoot videos


Ma producers hawa wanakula sana zile pisikali underground kwenye muziki, Au nimtajie producer aliemla Zuchu before hata hajaenda wasafi.
 
Hawa viumbe wana ujinga flani hivi wa asili

Unaweza kuona mtu yeyote ambaye ana access ya kukaa nao karibu mara kwa mara ndo anawabutua hatari.Na cha ajabu mpaka rangi kucha unaweza ukadhani anakula type flani ya mademu lakini sio kweli unakuta anakula wote malaya,walimu,mastaa,wake za watu,viongozi yaani kiufupi anakula wanawake wote the same to boda boda.Mtu akiniambia anakosa mwanamke namshangaa kabisa,kiumbe mjinga hivi anakushindaje akili???

No wonder wazee wetu waliwaweka gizani kwa nguvu walijua ukiwatoa gizani kidogo tu jamii nzima itaangamia.

Tunaona huko istagram ujinga wao unavyoongezeka kila leo yaani full upuuzi.Mitandaoni wanaume wanaharibikiwa lakini wanawake wanaangamia kabisa km sio kuchanganyikiwa.

Haya nyie wanawake wachache wenye akili mnisamehe sitaki povu nyie hamuhusiki
 
UMEGUSA MULEMULE
 
kwani sababu hua ninini kwa hayo makundi kuwala hao viumbe kwa urahisi hivyo?
 
Wahudunu wa kike wa Lodge/guest

Dash!Njemba usiku zinaita tu kiulainiii
Kuna siku nimetoka Dar nikafika Moshi saa nne usiku nikasema nipumzike tu asubuhi nimalizie safari. Nikapiga vyombo pale Redstone kama one hour nikaenda lodge moja hivi jina sikumbuki nikamkuta mhudumu mmoja hivi kimodo cha singida..wakati naandikisha nikawa namtania anipe chumba kizuri kama yeye..akanibebea begi hadi room kufika nikamtania likitanda lote hili silali peke yangu uje tulale wote. Akacheka akasepa,namimi ule uchovu wa long drive nilimtania tu na sikua na mpango na game maana ningetaka ningebeba toka Redstone. Imefika sa 7 kapiga simu ya landline mi nshalala nikahisi naota,kupokea anauliza ushalala? Nikamwambia yaah,akasema si ulisema hulali peke yako...nikamwambia nilikua nakusubiri usingizi ukanipitia nimekaa tu hapa kwenye sofa njoo.

Itaendelea, namimi nimechoka kuandika kama handsome boy wa jf
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…