Kazi hizi hufanya Wanaume wengi kula tunda kimasihara

Daah! Bahati mbaya si rahisi sana kwa mke kuyashinda makundi yote hayo! Mnacomment kama wake zenu na waume zetu si wahusika wa hizi mambo! So sad for real!
 
Kweli mkuu kawasahau odaoda na bajaji! Hawa wanakula hata visivyolika (wake za watu)!
Kuna bodaboda alikuwa akiishi mtaani kwangu, akikuonyesha watumishi aliowahi kupiga huweziamini aisee! Kisa lift ya kuja kumchukua kazini na home!
Ukisikia boda2 wangu jua maumivu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…