Kazi hizi hufanya Wanaume wengi kula tunda kimasihara

Wachungaji feki - wanawake ni watu ambao unaweza kuwateka kirahisi mno kwa Imani, wengi hujikuta wakitumika pale Imani inapofanywa mtego, kwa udhaifu huu wachungaji waguni wanabadili watakavyo wanawake wanaowataka.
Mm ni mwal wa chuo, vischana visumbufu sana. Ukijenga nao mazoea unawala wote. Yaan acha tu. Vikishapata namba ya simu lazima vinaanza kupitia status zako kila siku, na baadae vitaanza kureply status na vi emonj emonj. Ukishaona hivo tu jua kinataka
 
Back
Top Bottom