Kauli za watu mtaani juu ya CCM

Kauli za watu mtaani juu ya CCM

Eeh bwana we umetisha!!!!!!!!!!!!! Chama ambacho wanachama wake wengi akili zao zina makengeza ya hatari. Kwamba kwenda kinyume na haki za binadamu ndiyo kigezo cha kupendwa na kupewa vyeo! Rejea kauri za matusi za Mwigulu kwa Chadema hadi kupewa unaibu Katibu Mkuu wa chama cha Magamba!!!!!!!!!!!!AIBU!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Napita tu wanangu sina kucha na meno ya kung'olewa bila ganzi. Magamba HOYEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Utapiga kura ww na shangazi ako wakati Cdm vjjn hakuna!

Ndoto za mchana zitawatesa sana? unaongelea vijiji gani? subiri uchaguz serikali za mitaa utambue CDM NI MSINGI INAVYOTISHA!
 
Kauli za watu mtaani juu ya chadema na babu Slaa
Watu wameanza kusema huku ziara za kichama za babu na wengine zikiendelea
1. Mashoga: "
Tukiichagua cdm tumeula, mabwana toka ulaya nje nje, babu silaa anatupenda atatuletea mabwana"

2. Wanywagongo: "Tukiichagua cdm ni burudani kweli, yani sitasumbuka kufanya kazi ya nguvu nikijipatia mia mbili tu mapemaaa kwa mama muuza"

3. Machangudoa: "Babu ni mtetezi wetu, tukimuweka tu madarakani hakuna tena kujificha, biashara nje-nje kwa rahaaaa bila bughudha"

4. Vibaka na Wavuta bhangi: "Sela cdm ndio mpango mzima, babu anatupenda, kahalalisha gongo sasa hivi anakuja kuhalalisha bhangi, cdm oyeeeeeeee"

5. Wasiopenda kufanya kazi- wakaaji wa vijiweni: "cdm mpango mzima, ikiingia tu madarakani, kila mtanzania analipwa mshahara aseee tuichague ati yani tutaendelea kukamua mtaani huku mwisho wa mwezi babu anatulipa mshahara si unaona hata wabunge wetu wengi wametoka humu vijiweni kwahiyo na sisi tutakua na magari kama wao...."

6.Wauza gongo: "Kweli hiki chama kimeanza na Mungu yani hatimae tumekumbukwa sasa hivi naelekea kariakoo nikaongeze vifaa maana ifikapo 2016 wateja wataongezeka, Mungu azidi kumuweka hai mkombozi wetu babu, babu katukomboa, nasisi sasa viwanda vyetu vitafanyakazi bila kificho, cdm chini ya babu oyeeeeee"

Siyo yangu haya, nimesikia tu mtaani wanavyoongea.... kwa wachache niliokutana nao sasa sijui bado makundi mengine yenyewe yanasemaje nitaendelea kuwafahamisha wanasemaje

Teh Teh Teh Teh Teh Teh tujuze ili tupate kukielewa zaidi kuna lingine nimesikia
1 wacheza disco wote wataajiriwa kwenye ukumbi wetu
2 wabunge wa viti maalumu watakuwa wakipelekwa Dubai kila wiki
 
au vaavaa ile miguo yao ya kijani kama mwezi mmoja mfululizo , utapewa cheo hata kama huna kadi .
 
Watu wameanza kusema,ukitaka kula pesa za wajinga jiunge ccm. Wanasema kuna options 2
1.Unaweza kutapeli kama yule jamaa aliyesema nimeaga kwetu Kg.
2.Unaweza kuiba,kwani watakwambia urudishe bila kuchukua hatua.
Wengine wansema,ukitaka kupanda cheo
1.Iseme vibaya chadema na kuahidi kuisambaratisha
2.Uue kama Michael Kamuhanda nk.
Eti hiki ndicho chama tunachokitegemea kuleta maendeleo.....ushe.nzi mtupu.

khaa!!! Hivi hamuwezi kukuna vichwa mkaanzisha threads zenye maana zinazojadilika zaidi ya uharo kama huu?
 
Mnataka kututoa kwenye hoja ya ZITTO, hatukubali tuambieni siku 14 bado tu mbona mnambwela?

Akili yako ndogo ka piriton. Zito aliambiwa alete maelezo kujibu kwanini asifukuzwe chama. Hukumu imetolewa ila aliruhusiwa kuleta utetezi lakini hukumu tayari. Hana utofauti na shonza, shitambala au mwampamba even kaburu. UKIHAMA CHADEMA SAWA NA KUDUMBUKIA CHOONI.
 
Ha ha ha huo ndio ukweli slogan ya Dr Dr Dr Kikwete ya maisha bora kwa kila mtanzania Kwa kasi mpya ari mpya lazima wananchi mitaani waseme hivyo manake wamesema kuwa wananchi tulivyopondwa
Kauli za watu mtaani juu ya chadema na babu Slaa
[/B]Watu wameanza kusema huku ziara za kichama za babu na wengine zikiendelea

1. Mashoga: "
Tukiichagua cdm tumeula, mabwana toka ulaya nje nje, babu silaa anatupenda atatuletea mabwana"

Wanaume wengi tu wanashindwa kuwajibika kwa sababu hajiwezi ni maskini wa kutupwa na hadi sense ya 2012 imeshaliona hilo , pongezi kwa maisha bora kwa kila mtanzania ndio haya tuliyopewa ya watanzania kugeuka mashoga

2. Wanywagongo: "Tukiichagua cdm ni burudani kweli, yani sitasumbuka kufanya kazi ya nguvu nikijipatia mia mbili tu mapemaaa kwa mama muuza"

waliosema maisha bora kwa kila mtanzania na kwamba hakutakuwa na wanywa gongo wao na familia zao wanazurura dunia nzima mpaka waziri wa fedha yuko mahututi kwa pressure ya kushinikizwa atafute fedha za safari ,na wataendelea kuhakikisha wananchi wengi wanaendelea na gongo ili wawatawale vizuri

3. Machangudoa: "Babu ni mtetezi wetu, tukimuweka tu madarakani hakuna tena kujificha, biashara nje-nje kwa rahaaaa bila bughudha"
Maisha bora kwa kila mtanzania kwa kasi mpya na ari mpya manchangudoa ni viherehere vyao lakini watoto wao wakiwa na div 5 wanarushwa ulaya kwa pesa za walipa kodi

4. Vibaka na Wavuta bhangi: "Sela cdm ndio mpango mzima, babu anatupenda, kahalalisha gongo sasa hivi anakuja kuhalalisha bhangi, cdm oyeeeeeeee"

Ha aaaa maisha bora kwa kila mtanzania kwa kasi mpya na ari mpya wananchi wote watakunywa gongo kwa hasara yao wenyewe huku CCM na serikali yake wakijilimbikizia mali na kuuza rasilimali zote za nchi

5. Wasiopenda kufanya kazi- wakaaji wa vijiweni: "cdm mpango mzima, ikiingia tu madarakani, kila mtanzania analipwa mshahara aseee tuichague ati yani tutaendelea kukamua mtaani huku mwisho wa mwezi babu anatulipa mshahara si unaona hata wabunge wetu wengi wametoka humu vijiweni kwahiyo na sisi tutakua na magari kama wao...."

Kazi ni kwa watoto wa vigogo wao wakiwa mwaka wa pili tayari nafasi zimeshaandaliwa ,mikopo wanachukua benki yeyote wanayotaka ,ardhi,vitalu vya uwindaji,tenda za serikali kwa kampuni feki ha ha maisha bora kwa kila mtanzania
 
khaa!!! Hivi hamuwezi kukuna vichwa mkaanzisha threads zenye maana zinazojadilika zaidi ya uharo kama huu?
utajitambua ukiooza kaburini maisha ya shida namna hii kwa wananchi huyaoni
 
Wewe usikimbie kimbioe mama siwezi kuwa gamba mimi umenisoma vibaya. Soma vzr nilipomkoment jamaa. Nakwambia Zitto ni kituko ndo kama mwanga vile, Usikurupuke kijana eeh.
 
Sama vizuri comment acha kuruka ruka sijawahiwala siwezi kuwa ugambani mimi.
 
Hahaha hahaha hahaha hahaha hahaha hahaha hahaha hahaha hahaha hahaha hahaha hahaha hahaha hahaha hahaha hahaha hahaha hahaha hahaha hahaha hahaha hahaha
 
utajitambua ukiooza kaburini maisha ya shida namna hii kwa wananchi huyaoni
Khaa!! wewe ndiyo bwegeza kwelikweli. Sasa hiyo thread na maisha ya shida ya wananchi inauhusiano gani? Mbona mnaakili fupi kiasi hiki jamani? Hebu leteni vitu vya maana vinavyojadilika kwa maendeleo ya taifa letu. Khaa!!!
 
Kauli za watu mtaani juu ya chadema na babu Slaa
Watu wameanza kusema huku ziara za kichama za babu na wengine zikiendelea
1. Mashoga: "
Tukiichagua cdm tumeula, mabwana toka ulaya nje nje, babu silaa anatupenda atatuletea mabwana"

2. Wanywagongo: "Tukiichagua cdm ni burudani kweli, yani sitasumbuka kufanya kazi ya nguvu nikijipatia mia mbili tu mapemaaa kwa mama muuza"

3. Machangudoa: "Babu ni mtetezi wetu, tukimuweka tu madarakani hakuna tena kujificha, biashara nje-nje kwa rahaaaa bila bughudha"

4. Vibaka na Wavuta bhangi: "Sela cdm ndio mpango mzima, babu anatupenda, kahalalisha gongo sasa hivi anakuja kuhalalisha bhangi, cdm oyeeeeeeee"

5. Wasiopenda kufanya kazi- wakaaji wa vijiweni: "cdm mpango mzima, ikiingia tu madarakani, kila mtanzania analipwa mshahara aseee tuichague ati yani tutaendelea kukamua mtaani huku mwisho wa mwezi babu anatulipa mshahara si unaona hata wabunge wetu wengi wametoka humu vijiweni kwahiyo na sisi tutakua na magari kama wao...."

6.Wauza gongo: "Kweli hiki chama kimeanza na Mungu yani hatimae tumekumbukwa sasa hivi naelekea kariakoo nikaongeze vifaa maana ifikapo 2016 wateja wataongezeka, Mungu azidi kumuweka hai mkombozi wetu babu, babu katukomboa, nasisi sasa viwanda vyetu vitafanyakazi bila kificho, cdm chini ya babu oyeeeeee"

Siyo yangu haya, nimesikia tu mtaani wanavyoongea.... kwa wachache niliokutana nao sasa sijui bado makundi mengine yenyewe yanasemaje nitaendelea kuwafahamisha wanasemaje

pole sana your comment do not reflect the reality compared to post. Itajulikana tu,hayo madharau yenu ya kiji.nga ipo siku mtasubiri njiani Rais Dr.SLAA APITE.
 
Khaa!! wewe ndiyo bwegeza kwelikweli. Sasa hiyo thread na maisha ya shida ya wananchi inauhusiano gani? Mbona mnaakili fupi kiasi hiki jamani? Hebu leteni vitu vya maana vinavyojadilika kwa maendeleo ya taifa letu. Khaa!!!

duh hujitambui wewe unataka watu tujadili watu hivi wewe zinakutosha kweli yaani wewe implication za siasa bovu za CMM za kusomba kila kitu kutengeneza matabaka ya walionacho na wasio nacho kutengeneza ajira hewa kwa vijana, kuwaacha wazee wafe pasipo matunzo huzioni kabisa na hutaki tujadili unataka tukujadili wewe na familia yako we ndio hamnazo kabisa
 
Ukitaka kufanya biashara hata barabarani wewe tundika bendera ya ccm.
Hata viroba vingapi vya bangi unaweza kukatiza navyo hata ikulu ili mradi tu umening'iniza bendera ya ccm kwenye gari

ukitaka kujenga eneo la hifadhi ya bahari na usivunjiwe jengo lako wewe tafuta cheo chochote tu ccm

Ukitaka hata kuua tembo wooote nchini wewe kuwa tu katibu mkuu ccm umepeta, na watakamatwa na kuuwawa watu wengiine kabisa wasio na hatia!
Kifupi ukitaka kuvunja sheria yeyote Tanzania na usifanywe lolote basi wewe miliki kadi ya ccm!a
walaaniwe hawa watu.
 
duh hujitambui wewe unataka watu tujadili watu hivi wewe zinakutosha kweli yaani wewe implication za siasa bovu za CMM za kusomba kila kitu kutengeneza matabaka ya walionacho na wasio nacho kutengeneza ajira hewa kwa vijana, kuwaacha wazee wafe pasipo matunzo huzioni kabisa na hutaki tujadili unataka tukujadili wewe na familia yako we ndio hamnazo kabisa
Khaa!! Kumbe wewe mbwiga kweli. Unakurupuka tu hovyohovyo. Hebu rudi ukasome tena hiii thread uone kama inajadilika. Acha ujin ga.
 
Back
Top Bottom