Kauli za watu mtaani juu ya CCM

Kauli za watu mtaani juu ya CCM

pole sana your comment do not reflect the reality compared to post. Itajulikana tu,hayo madharau yenu ya kiji.nga ipo siku mtasubiri njiani Rais Dr.SLAA APITE.

Hahaaa, asanteeeee, gongo oyeeeeeeeeee ushoga oyeeeeeeee, babu silaaa oyeeeeeeee.....
 
Mtaani kwetu wanaifananisha CCM na shoga lililokubuhu, linauza mali ya kurithi ili lipate fedha ya kuhonga mabasha! Wengine wanasema bora ukimwi kuliko madhara ya CCM kwa jamii! Wengine wanasema ukimuona kijana anashabikia CCM basi akizeeka lazima atakuwa mchawi!!!
 
Mnataka kututoa kwenye hoja ya ZITTO, hatukubali tuambieni siku 14 bado tu mbona mnambwela?

HAKUNA WA KUKUTOA KT MADA, ZILITANGULIA SIKU 90 ZA KUJIVUA GAMBA, ANZA NA IZO KWANZA, VP ZILIISHA KWISHA? THEN UTUULIZe ZILE ZA CHADEMA MBULULA WA KINGONI WEWE
 
Mtaani kwetu wanaifananisha CCM na shoga lililokubuhu, linauza mali ya kurithi ili lipate fedha ya kuhonga mabasha! Wengine wanasema bora ukimwi kuliko madhara ya CCM kwa jamii! Wengine wanasema ukimuona kijana anashabikia CCM basi akizeeka lazima atakuwa mchawi!!!

DAH NIMECHEKA SANA KWA UKWELI HUU, HASA PALE KIJANA MPENDA CCM AKIZEEKA LZM ABADILIKE NA AWE MCHAWI, NI UKWELI KWAN KWAN KWA KIJANA KUIPENDA CCM LAZIMA UBONGO WAKO UFANANE NA WA MAHITI AKSEH, SASA HUU C NDO UCHAWI JAMAN??
AH AH, U HAVE MADE MA DAY WEWE Rockspider
 
Mnataka kututoa kwenye hoja ya ZITTO, hatukubali tuambieni siku 14 bado tu mbona mnambwela?

Zitto keshajibu ndani ya siku 14 sasa unataka nini cc itakutana kuona kama alichojibu kinamaana au achinjiwe mbali angeacha kujibu ndani ya hizo siku aone
 
Kivuli cha zitto kitawasumbua sn mana sasa kila muhafidhina haoni raha bila kumtaja zitto na bado huo ni mwanzo kama kaboronga sijui katumwa eti kibaraka mfukuzeni muendelee kukijenga chama sasa inamaana gani watu wazima kumtukana kijana mwenyewe mdogo anawasumbua vichwa majitu mazima mbona ovyo ninyi.

Zitto anaisumbua CCM baada ya CDM kumstukia kuwa ni pandikizi imewauma sana CCM maana wanajua kibaraka hana kazi tena poleni magamba
 
chama cha makutu wao m wanazengua kipofu hawez humuongoza kpofu mwenzi slaa ndo prezdnt we2 co k mda wote anakesha airport mara marekan mara chna mambo gan ayo bwana 2nataka m2 mwenye uchungu na nch ìì km waliotangulia mbele yahaki nyerere,tuntemeke,sokonne na majembe wngn
 
Back
Top Bottom