wakatanta
JF-Expert Member
- Feb 5, 2018
- 2,593
- 3,161
Alinukuliwa akisema,we cheated, we stole we lied.
Je wameacha hizo tabia?
Huyu aliwahi kuwa Mkurugenzi wa Shirika la Kijasusi la Marekani CIA, sasa ni waziri wa mambo ya nje wa nchi hiyo.
Huyu ndie anaesifiwa na baadhi ya watanzania wenzetu mahasimu wa Magufuli kwamba atawakomboa watanzania .
Ni kujidanganya, tujifunze kwa mataifa mengine,kila walipotia mguu kwa kigezo cha demokrasia mataifa hayo yalisambaratika, wengi kuangamia, tuwe makini.