Kauli ya Pompeo ni hatari sana

Kauli ya Pompeo ni hatari sana

Alinukuliwa akisema,we cheated, we stole we lied,

. Je wameacha hizo tabia?

huyu aliwahi kuwa mkurugenzi wa shirika la kijasusi la marekani CIA,sasa ni waziri wa mambo ya nje wa nchi hiyo.

Huyu ndie anaesifiwa na baadhi ya watanzania wenzetu mahasimu wa Magufuli kwamba atawakomboa watanzania .

Ni kujidanganya,tujifunze kwa mataifa mengine,kila walipotia mguu kwa kigezo cha demokrasia mataifa hayo yalisambaratika,wengi kuangamia,tuwe makini
Bora muangamie

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kujidanganya,tujifunze kwa mataifa mengine,kila walipotia mguu kwa kigezo cha demokrasia mataifa hayo yalisambaratika,wengi kuangamia,tuwe makini
Usihangaike na hao.

Njia rahisi na ya pekee kuwazuia ni kutenda haki kwa watu wako ulionao ndani ya nchi yako, basi.

Hayo mengine ni ya kutiana ujinga tu kichwani.
 
Mbona mnaenda kuomba hela huko ? Kutafuta. Suluhu ?
Pesa zao ziacheni pia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hiyo huyu ndiye atakaewakomboa Watanzania?
Screenshot_20200303-141241-picsay.jpeg
 
Haki hupatikana mahakamani na mfumo wetu wa kutoa haki upo vizuri, sheria ni msumeno msigeuze masuala ya kisheria kuwa ya kisiasa
Usihangaike na hao.

Njia rahisi na ya pekee kuwazuia ni kutenda haki kwa watu wako ulionao ndani ya nchi yako, basi.

Hayo mengine ni ya kutiana ujinga tu kichwani.
 
Senseless
t

Acha isambaratike tutajipanga turudi kivingine tu ,heri taifa liwe letu wenyewe sio kikundi cha watu fulani ndiyo wajione nchi ni yao na ati bila wao hakuna chochote cha msingi kitakachoweza kufanyika.
 
Lengo lilikuwa kumtoa mtawala ili wajitawale, sasa hatua ya awali tayari, hiyo ya maisha bora ndiyo itakayo fuata. Hakuna kitu rahisi. Hata sisi inabidi kuitoa ccm then tujiboreshee maisha.
Na je wanafurahia maisha bora kuliko ya mkoloni alieondoka?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kila walipotia mguu kwa kigezo cha demokrasia mataifa hayo yalisambaratika,wengi kuangamia,tuwe makini

Vipi kila wanapotia mguu sisiem panabakia salama? Nchi iendeshwe kwa matakwa ya wananchi wote kwa ujumla sio kwa kikundi cha watu fulani !

Matokeo yake ndio haya sasa unaanza kulialia kutafuta huruma za wananchi hata Oct haijafika

Hakuna mwenye hatimiliki ya nchi hii Mzee, kila mmoja anahaki ya kuongoza nakusikilizwa

ANYE KUKU TU! AKINYA BATA KAHARISHA SI NDIO ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haki hupatikana mahakamani na mfumo wetu wa kutoa haki upo vizuri, sheria ni msumeno msigeuze masuala ya kisheria kuwa ya kisiasa
Hayo ya kutogeuza "masuala ya kisheria kuwa ya kisiasa" ungeyaelekeza kwa hao watawala wanaokiuka hizo sheria ungeonekana kuwa na hoja nzuri.
Kuelekeza lawama kwa anayeonewa kunafanya ushauri wako uwe wa kipuuzi.
 
Back
Top Bottom