Kama ungekuwa na akili walau kidogo ungejiuliza kuna nini hadi watanzania wahitaji msaada wa Pompeo ndio waweze kukombolewa.
Na kwa nini leo ilhali sio kwamba leo ndio nchi imepata uhuru kwa nini huu msaada hawakuuhitaji miaka ya huko nyuma.
Please try to think critically and upon getting the answer you might not need to ask yourself this question any longer.