data
JF-Expert Member
- Apr 9, 2011
- 26,942
- 23,893
Ha ha haF uck u 2
Ha ha haF uck u 2
Wachaga asili yao inajulikana wao wanaangalia pesa tu.Alinukuliwa akisema,we cheated, we stole we lied,
. Je wameacha hizo tabia?
huyu aliwahi kuwa mkurugenzi wa shirika la kijasusi la marekani CIA,sasa ni waziri wa mambo ya nje wa nchi hiyo.
Huyu ndie anaesifiwa na baadhi ya watanzania wenzetu mahasimu wa Magufuli kwamba atawakomboa watanzania .
Ni kujidanganya,tujifunze kwa mataifa mengine,kila walipotia mguu kwa kigezo cha demokrasia mataifa hayo yalisambaratika,wengi kuangamia,tuwe makini
Kikinuka ni bora maana hamko mko kimkakati kuwatia vilema na kuuwa wapinzani.Alinukuliwa akisema,we cheated, we stole we lied,
. Je wameacha hizo tabia?
huyu aliwahi kuwa mkurugenzi wa shirika la kijasusi la marekani CIA,sasa ni waziri wa mambo ya nje wa nchi hiyo.
Huyu ndie anaesifiwa na baadhi ya watanzania wenzetu mahasimu wa Magufuli kwamba atawakomboa watanzania .
Ni kujidanganya,tujifunze kwa mataifa mengine,kila walipotia mguu kwa kigezo cha demokrasia mataifa hayo yalisambaratika,wengi kuangamia,tuwe makini
Na hawo wengine walisema kabla yako. Kwani magufuli barua aliyomuandikia Trump siyakuomba msamaha?Huu anaumwa,na ana personal interest na taifa letu kamwe hataweza
Sent using Jamii Forums mobile app
Libya hakuna shida. watu wake wana furaha kutuzidi sisi..... check hapa chini:
World Happiness Report - Wikipedia
Hivi yule Tarishi aliyepeleka barua kwa Trump akaambiwa aiache kwa houseboy amerudi?walidanganya kuhusu uwepo wa silaha za maangamizi, wakamuua sadam wa watu, walidanganya pia kuhusiana na demokrasia kule libya wakamuua Ghadafi. Wanatutafuta kwa hali na mali.
Ask ur mumHivi yule Tarishi aliyepeleka barua kwa Trump akaambiwa aiache kwa houseboy amerudi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha isambaratike tutajipanga turudi kivingine tu ,heri taifa liwe letu wenyewe sio kikundi cha watu fulani ndiyo wajione nchi ni yao na ati bila wao hakuna chochote cha msingi kitakachoweza kufanyika.Alinukuliwa akisema,we cheated, we stole we lied,
. Je wameacha hizo tabia?
huyu aliwahi kuwa mkurugenzi wa shirika la kijasusi la marekani CIA,sasa ni waziri wa mambo ya nje wa nchi hiyo.
Huyu ndie anaesifiwa na baadhi ya watanzania wenzetu mahasimu wa Magufuli kwamba atawakomboa watanzania .
Ni kujidanganya,tujifunze kwa mataifa mengine,kila walipotia mguu kwa kigezo cha demokrasia mataifa hayo yalisambaratika,wengi kuangamia,tuwe makini
Alinukuliwa akisema,we cheated, we stole we lied,

Ukiona hivyo ujue kuna baadhi ya watanzania wameshaona ni afadhali Pompeo kuliko hawa wanaoua, wanaoteka, wanaowapoteza, na kukandamizq ndugu zetu.Alinukuliwa akisema,we cheated, we stole we lied,
. Je wameacha hizo tabia?
huyu aliwahi kuwa mkurugenzi wa shirika la kijasusi la marekani CIA,sasa ni waziri wa mambo ya nje wa nchi hiyo.
Huyu ndie anaesifiwa na baadhi ya watanzania wenzetu mahasimu wa Magufuli kwamba atawakomboa watanzania .
Ni kujidanganya,tujifunze kwa mataifa mengine,kila walipotia mguu kwa kigezo cha demokrasia mataifa hayo yalisambaratika,wengi kuangamia,tuwe makini
Wamarekani wanatafuta loop hole wafanye yao ila kwanini sisi tunatoa mianya ya wao kufanikisha yao. Kwanini watu wapigwe risasi mchana kweupe halafu kusifanyike uchunguzi wowote? Kuna umuhimu gani wakuzuiya vyama vya siasa kufanya mikutano wakati huko nyuma ilikuepo? Kwanini watu wanatekwa ovyo na wengine kupotezwa? Mbona wanasiasa na waandishi wa habari wanabambikiwa kesi za uhujumu uchumi tena bila ya hata aibu? Magufuli anahitahidi katika kuimarisha uchumi wa nchi lakini anakosea sana anakosea sana pale anaposhindwa kusimamia democracy, uhuru wa habari na wa kuishi. Hizi loop holes anazotoa zinaweza kuidhuru nchi. Tusiwalaumu Wamarekani maana wao wana nguvu zaidi yetu wanaweza fanya lolote lile lakini lazima wapate justification so ni sisi wenyewe ndo tutawapa hizo sababu za kuiharibu nchi yetu. Tunajichimbia kisima wenyewe.walidanganya kuhusu uwepo wa silaha za maangamizi, wakamuua sadam wa watu, walidanganya pia kuhusiana na demokrasia kule libya wakamuua Ghadafi. Wanatutafuta kwa hali na mali.
Alinukuliwa akisema,we cheated, we stole we lied,
. Je wameacha hizo tabia?
huyu aliwahi kuwa mkurugenzi wa shirika la kijasusi la marekani CIA,sasa ni waziri wa mambo ya nje wa nchi hiyo.
Huyu ndie anaesifiwa na baadhi ya watanzania wenzetu mahasimu wa Magufuli kwamba atawakomboa watanzania .
Ni kujidanganya,tujifunze kwa mataifa mengine,kila walipotia mguu kwa kigezo cha demokrasia mataifa hayo yalisambaratika,wengi kuangamia,tuwe makini
Kama ndio hivyo wacha wadanganye na wamuue wakumuua Tanzania....[emoji41][emoji41]walidanganya kuhusu uwepo wa silaha za maangamizi, wakamuua sadam wa watu, walidanganya pia kuhusiana na demokrasia kule libya wakamuua Ghadafi. Wanatutafuta kwa hali na mali.
walidanganya kuhusu uwepo wa silaha za maangamizi, wakamuua sadam wa watu, walidanganya pia kuhusiana na demokrasia kule libya wakamuua Ghadafi. Wanatutafuta kwa hali na mali.
Hoja ya kijingaAlinukuliwa akisema,we cheated, we stole we lied,
. Je wameacha hizo tabia?
huyu aliwahi kuwa mkurugenzi wa shirika la kijasusi la marekani CIA,sasa ni waziri wa mambo ya nje wa nchi hiyo.
Huyu ndie anaesifiwa na baadhi ya watanzania wenzetu mahasimu wa Magufuli kwamba atawakomboa watanzania .
Ni kujidanganya,tujifunze kwa mataifa mengine,kila walipotia mguu kwa kigezo cha demokrasia mataifa hayo yalisambaratika,wengi kuangamia,tuwe makini
Ndo nguvu ya ccm iliyobaki kutumia mapolis.Jana pale kilichotakiwa Ni jeshi LA polis kuwaguide raia sio kuwafukuza..Jana mlipoteana mahakamani kisutu kama panya buku kaona paka hilo lingine mtaweza
Naunga mkono hojaAlinukuliwa akisema,we cheated, we stole we lied,
. Je wameacha hizo tabia?
huyu aliwahi kuwa mkurugenzi wa shirika la kijasusi la marekani CIA,sasa ni waziri wa mambo ya nje wa nchi hiyo.
Huyu ndie anaesifiwa na baadhi ya watanzania wenzetu mahasimu wa Magufuli kwamba atawakomboa watanzania .
Ni kujidanganya,tujifunze kwa mataifa mengine,kila walipotia mguu kwa kigezo cha demokrasia mataifa hayo yalisambaratika,wengi kuangamia,tuwe makini
Mkuu hiyo ilikuwa zamani, Siku hizi hata ccm Ni pesa tu...polepole Jana kaenda Na pochi ya like mahakamani akijidai kachangiwa Na ccm dar kumbe wamekwapua serikalini huko..Wachaga asili yao inajulikana wao wanaangalia pesa tu.
Na hapa sio siasa wala ukombozi bali wanalilia wizi tuuu!
Sent using Jamii Forums mobile app