Kauli ya Mbowe jana mkoani Mbeya inanifanya nijitoe kwenye CHADEMA kwa kuwa inalenga kuleta machafuko hapa nchini.
Kauli inayowataka watanzania walio Wanaukawa kulinda kura zao ni ya kichochezi na haipaswi kuvumiliwa hata kidogo.
Mimi binafsi kura yangu ya uraisi nampa DR. MAGUFULI. Ubunge na udiwani nilipanga kuwapa Chadema lakini kwa kauli ile ya Mbowe nitawapa ACT Wazalendo.Chadema hawatufai kabisa, badala ya kumwaga sera wao wanatuonyesha ubabe.