Kauli ya Mbowe ilaaniwe na wapenda amani

Kauli ya Mbowe ilaaniwe na wapenda amani

Kutafuta sababu ili waandikwe kwenye magazeti ya tarehe 25 jumatatu, ni ujinga huu, upuuzi huu hakuna anayeweza kuufanay kama vipi na Edo nae ajitokeze kulinda kura maan yeye ndio mgombea
 
Miye MBOWE ntakua na mke wangu Johannesburg.
 
Last edited by a moderator:
Sisi wakati tunalinda kura wew Mh. Mbowe utakuwa wapi.....?????? Obvious utakua kwako unahakikisha usalama wa familia yako....... Mimi pia nina family mkuu so sitalinda kura unless nikuone wew Mh Mbowe umeiacha family yako na unashirikiana na sisi wanachi hapo nami nitaiacha family yangu na kuungana na vijana wenzangu... Mimi sio Chambo

Mimi nitalinda kura sehemu nitakayopiga kura yangu. Haibiwi mtu safari hii.
 
Mbowe kaongea vizuri. Kwanini nyie ccm hamtaki tulinde au kuna nini hapo.? Sasa hao wa ccm waliosema iwe isiwe lazima waingie ikulu wenyewe sio kauli chonganishi.?
 
Usidhani watu wote wana akili ndogo kama yako . Tangia lini wewew ni ukawa? Akili ya kuambiwa changanya na yako .Anayejwambia usilinde kura utamuaminije?Unjua .mipango yake?Hatuitaji kuibiwa hata kura moja?TutalindaTu.
 
makoko jumanne
Ukimkuta mlinzi analinda nyumba ya jirani yako akiwa na siraha, kisha na wewe kesho yake ukaenda pale alipo au ukakaa pembeni ya hiyo nyumba bila siraha unadhani mlinzi atakufikiliaje pale ulipo?
 
Last edited by a moderator:
Kauli ya Mbowe jana mkoani Mbeya inanifanya nijitoe kwenye CHADEMA kwa kuwa inalenga kuleta machafuko hapa nchini.

Kauli inayowataka watanzania walio Wanaukawa kulinda kura zao ni ya kichochezi na haipaswi kuvumiliwa hata kidogo.



Na ile kauli ya Halima Mdee (kumhusisha Juma Nyosso) ........................
 
Huna jipya wewe,ni lini ukawa MWANAUKAWA wewe?.
Kwenda hukoo!.
 
Kwa nini uchaguzi wa mwaka huu kusimama mita 200 toka kituo cha kupigia kura iwe issue?!! Kwa nini hilo linahofiwa sana kama hakuna baya lolote? Jiongoze
 
Kauli ya Mbowe jana mkoani Mbeya inanifanya nijitoe kwenye CHADEMA kwa kuwa inalenga kuleta machafuko hapa nchini.

Kauli inayowataka watanzania walio Wanaukawa kulinda kura zao ni ya kichochezi na haipaswi kuvumiliwa hata kidogo.
Katoka Slaa rais wa maandamano itakuwa wewe kidampa.
 
Kauli ya Mbowe jana mkoani Mbeya inanifanya nijitoe kwenye CHADEMA kwa kuwa inalenga kuleta machafuko hapa nchini.

Kauli inayowataka watanzania walio Wanaukawa kulinda kura zao ni ya kichochezi na haipaswi kuvumiliwa hata kidogo.

Unapoitafuta haki kuna changamoto zake,hata Nyerere chupuchupu apelekwe jela wakati wa harakati za kudi uhuru.
Wewe subiri kufurahia matunda ya vyama vingi kama unavyofurahia uhuru ulionao!
 
Mbowe sikuzote nasema ni ZUZU huwa mnadhani natania jamaa nijanga la taifa

Wewe ni zezeta la nape. Subiri wiki ijayo ndio mtafahamu kati ya Mbowe na vibaka wote wa ccm nani zuzu
VIVA UKAWA!!!!
 
Mimi mwana CCM Kindakindaki naapa kuwa nitampigia kura EDWARD NGOYAI LOWASSA anayeiwakilisha CHADEMA kupitia mwamvuli wa Muungano wa vyama vya UKAWA.

Kama kuna wakati ambapo CCM inahitaji kujipanga vyema na kurekebisha mapungufu yaliyopo wakati huo ndio sasa.Kwa yeyote anayeipenda CCM kama mimi,naomba kwa Moyo Mkunjufu tuiweke CCM pembeni ili ikajikague,ikajitafakari na kisha ijipange kwa ajili ya 2020 - 2025.

Gari ama mashine yeyote ile hata iwe "tingatinga" ikiharibika sharti iwekwe pembeni ili ifanyiwe marekebisho muhimu.

Ukiilazimisha iendelee na kazi ama iendelee na safari madhara yake ni makubwa sana kwa abiria, mazingira na hata watu waliokaribu na mashine hiyo! Kataa vitisho, kataa kununuliwa kama bidhaa, kataa uchochezi, kataa ahadi hewa zisizotekelezeka, kataa michezo michafu ya Kisiasa...

Jiandae kupiga kura yako kwa Diwani,Mbunge na Rais wa UKAWA.....MUNGU ibariki TANZANIA na watu wake wote!!
 
We mbweha toka lini UKAWA mwana UKAWA? Tutolee hewa chafu humu.
VIVA UKAWA!!!
 
Back
Top Bottom