Kwa nini tunasema CCM ni ILE ILE ???
Mke wa Malechela anagombea.
Mke wa Sitta anagombea.
Mtoto wa Kikwete anagombea.
Mtoto wa Makamba anagombea.
Mtoto wa Warioba anagombea.
Mtoto wa Mwinyi anagombea.
Mtoto wa Sokoine anagombea.
Mtoto wa Sitta anagombea.
Mtoto wa Kombani anagombea.
Mtoto wa Mgimwa anagombea.
Mtoto wa Nkya anagombea.
Mtoto wa Mavunde anagombea.
Huku ndiko Magufuli atachagua MAWAZIRI wake!
Je hawa watabadilije ulaghai waliokuwa wakifanya Waume/Baba zao? Kamwe Haiwezekani. Watu ni WALE WALE hivyo CCM ni ILE ILE !!!. Ukifikiria vingine UNAJIDANGANYA.
Chagua MABADILIKO ya KWELI.
Chagua LOWASA, WABUNGE, na MADIWANI wa UKAWA.