Maelite wa KLM walivyokuwa kwenye kampeni zao Moshi hawakuwataka watu wa KLM kulinda kura kama wanavyowaambia misukule yao ya Mikoa mingine, kama ilivyo pia kwenye maandamano ya chadema Mkoa huwo na Mji wake mzuri wa Moshi wenye mandhari nzuri umekuwa ukiepushwa na Maandamano na fujo zinazoshuhudiwa Mikoa mingine kama MB, MZ, KG, KG, Do ,MR, MT n.k maelite wa KLM wamekuwa wakichochea maandamano Geita, Mara, Bukoba na kwa geuza wakazi wa Mikoa hiyo misukule na Manyumbu jambo linalopeleka kuhathiriwa kwa miundombinu ya Mikoa hiyo, kuathiri shughuli za kibishara ambazo wakazi hao wanazihitaji ili waweze kuishi!