Hajui kuwa akina Mkwawa, Kinjekikite wa Maji Maji, Songea Mbondo, Mirambo na wengine wengi waliuawa ili kupinga Utawala wa Wakoloni kama wangeogopa kama yeye ingekuwaje, au hajui kuhusu Idd Amin vile vile kama watu wangekuwa kama yeye leo Kagera ingekuwa mali ya Uganda chini ya Amini.Mbwa koko wew unaandika huo upuzi leo kwa sababu unauhuru si ndio babu zako na bibi zako wangekataa kupigania uhuru wa taifa hili leo ungeweza andika hayo unayoandika achaa upopoma tutalinda kura kwa maslahi ya vizazi vyetu vijavyo hata wakituuma ila utakuwa umeingia kwenye historia mpya ya kupigania uhuru toka kwa mkoloni mweusi ccm.
Viva ukawa viva
Mbwa koko wew unaandika huo upuzi leo kwa sababu unauhuru si ndio babu zako na bibi zako wangekataa kupigania uhuru wa taifa hili leo ungeweza andika hayo unayoandika achaa upopoma tutalinda kura kwa maslahi ya vizazi vyetu vijavyo hata wakituuma ila utakuwa umeingia kwenye historia mpya ya kupigania uhuru toka kwa mkoloni mweusi ccm.
Viva ukawa viva
We kaa tu alafu kwenye msiba ata diwani wa CHADEMA aji
Labda mamilioni ya Kishumundu na Machame lkn siyo Watz niwajuwao wa TB, SHY, MZ, KG, DO, KV, RK ,KG, MT, LD, RV, IR, MB, MR, SG ,TA, DAR, PW, MR hawa wote wana tabia ya kutii Mamlaka waliyoichagua!
...kama haina maana wanaogopa nini ? tushachanganya na kujumlisha tukabaini goli la mkono, kambi mita 200 mpaka kieleweke,...mita 200 sawa na umbali wa kuunganisha viwanja viwili vya mpira sasa hapo unaona nini yanayoendelea humo ndani...akili za kuambiwa changanya na zako...wenyewe wanaenda kutulia na familia zao wewe eti upo juani unalinda kura na kupambana na vyombo vya usalama shida nini...
Ni kuhakikisha chupa za chai hazipelekwi kwenye vituo vya kupigia kura hasa wakati wa kuhesabu kura kama ambavyo iliwahitokea katika baadhi ya maeneo katika uchaguzi wa mwaka 2010Hivi hebu tumieni akili mita mia mbili mnalinda kura??? Mbona fikra zenu finyu sana. Wale mawakala mnaowaweka hamuwaamini?? Kuweni makini na mtumie busara. Ila mlinde msilinde ccm itaibuka kifedea
Ni Kwa Nia Njema Tu Nataka Tuwe Wote Pamoja Mita 200 Na Mheshimiwa Kulinda Kura
Ni Kwa Nia Njema Tu Nataka Tuwe Wote Pamoja Mita 200 Na Mheshimiwa Kulinda Kura