Kauli ya Jaji Tiganga kwamba huenda Shahidi Ling'wenya alikuwa anapewa majibu ya maswali aliyoulizwa yawaibua Wadau

Kinoamiguu

JF-Expert Member
Nov 29, 2018
5,684
2,000
Toka tumboni mwa mama yake and he thought he will get away with it but uovu una mwisho hapa duniani kabla ya hukumu ya haki mbele ya Mungu wake.
Mungu yupi unayemuamini wewe? Huyo mungu wako ndo aliyekufundisha kushuhudia watu UONGO?
Wewe ni zao la shetani kama sabaya na makonda tu ndugu.
 

Mmawia

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
112,288
2,000
Wadau wengi sana wamejitokeza kuhoji uadilifu wa Jaji anayeendesha kesi inayomkabili Mbowe na wenzake watatu , kauli aliyoitoa Mahakamani iliyojaa uongo ya Kwamba Shahidi aliyekuwa anahojiwa na Mawakili wa Utetezi Mbele yake na mbele ya umati wa watu.

Komando Ling'wenya huenda alipewa majibu ya maswali aliyokuwa anaulizwa , imeleta Taharuki kubwa na imethibitisha mashaka ya siku nyingi kwamba huenda Jaji Tiganga yuko upande wa Jamhuri .

View attachment 2023342
Watapanga mioango yao yoote lkn mwisho wa siku haitakaa ifanye kazi ya kumdhuru mh Mbowe.
 

comte

JF-Expert Member
Dec 11, 2011
4,759
2,000
Mungu yupi unayemuamini wewe? Huyo mungu wako ndo aliyekufundisha kushuhudia watu UONGO?
Wewe ni zao la shetani kama sabaya na makonda tu ndugu.
Umenijibu bila kusoma nilichoandika- sishangai ndivyo wanaharakati mlivyo. Ungesoma ungegundua kwamba nimeandika atahukumiwa na Mungu wake SIYO wangu
 

mlimilwa

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
2,519
2,000
Kuna muda jaji anajisahau anahisi kama nae ni mwanasheria wa serikali ivo anataka kuweka pingamizi
Hahhahahahahahahahahhahahahahaha........

Kwamba tunapinga kwanini shahidi anajibu vizuri....!
 

sniper92

JF-Expert Member
Aug 19, 2013
3,430
2,000
Wasajiwe kabla ya kupanda kizimbani teknlojia iko juu aweza kuwa na kielektronic gadget akiulizwa swali mtu anamwambia yeye anasikia kwenye ki
microphone chake

Jaji Yuko sahihi
wazee wa kujitoa ufahamu
penye ukweli kubalini tu sio kuleta viroja
vijana wa Lumumba ni vijana wa hovyo hovyo haijawahi kutokea nchini
 

FUSO

JF-Expert Member
Nov 19, 2010
26,016
2,000
Kama mawakili wa Jamhuru awajalalamika jambo lolote lile kwamba kuna uvunjifu wa sheria inafanyika sidhani Jaji yeye mwenyewe atakuwa sahihi yeye kuibuka jambo hilo - kazi yake ni kusikiliza pande mbili kwa kutumia tafsiri ya sheria na kutoa maamuzi - thats it.

Hapo alipotoka, yaani kwa sisi wana soka ni kama refa kusaidia kugusa mpira ili umfikie mchezaji wa timu pinzani.
 

vanmedy

JF-Expert Member
Oct 12, 2011
2,610
2,000
Wasajiwe kabla ya kupanda kizimbani teknlojia iko juu aweza kuwa na kielektronic gadget akiulizwa swali mtu anamwambia yeye anasikia kwenye ki
microphone chake

Jaji Yuko sahihi
Aisee, mtu "anasikia kwenye ki microphone chake"
Nielekeze duka nami nikajipatie "MICROPHONE YA KUSIKIA"
 

eliasmisinzo

JF-Expert Member
Aug 13, 2021
300
500
Mna visingizio sana tulieni dawa iwaingie maana mlitamba sana mama anaupiga mwingi.

Mkome kabisa tabia ya kuingilia mahakama.
Ushahidi wenyewe unaotolewa ni wa kukamata, kula supu, nyama choma, na kunywa MO energy, hakuna hata dalili ya ugaidi, Sasa hii kesi gani ya ugaidi hata dalili haionyeshi?


Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 

Bila bila

JF-Expert Member
Dec 20, 2016
15,350
2,000
Simply jaji haamini shahidi anachoongea, yani kwa maana nyingine jaji kaamua kuweka "objection" kuwasaidia mawakili wa serikali, hii kesi iishe tu, mahakama ya rufaa ndio kimbilio lililobaki
Hata Mimi mwanzo nilishitushwa na swali la Jaji, lakini usiku nimetafakari nikaona Jaji alikuwa anawapiga dongo Mawakili wa Serikali walete mashahidi wanaotoa ushahidi unaotiririka wenyewe kama Ling'wenya utadhani anasoma kwenye notebook.
 

Bila bila

JF-Expert Member
Dec 20, 2016
15,350
2,000
Mkuu samahani.....

Mawakili siku zote huwa wanawafundisha wateja wao kujibu kabla ya kwenda mahakamani....

Hoja iliyopo ,je shahidi wa leo alionekana akifundishwa pale kizimbani kwa kusikika maneno ,kwa kuwa na simu anasoma ama kipande cha karatasi anadesa?!!!🤣
Huyu amefikia mpaka ngazi ya naibu waziri lakini kichwani ni mweupe kuliko mtendaji wa kijiji.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom