Kauli ya Jaji Tiganga kwamba huenda Shahidi Ling'wenya alikuwa anapewa majibu ya maswali aliyoulizwa yawaibua Wadau

kama sikosea huyo ni jaji wa tatu kwenye hii kesi.... na kila Jaji akija malalamiko ni yaleyale... sasa muafaka ni nini?.....wafuasi wetu uelekeo upi wafuate..., tunaendeleaje kufuatilia kesi na kusubiri matokeo yake ilihali tunaamini jaji yupo kimkakati.... Je tutasemaje mwishoni jaji huyu akimuachia mtu wetu?...
Dawa ni kuwasomea Albadiri majaji wote wanaonyesha kuleta uonevu kwenye kesi ya mbowe
 
Kuna uwezekano jaji aliingiza utani kwa jinsi mshitakiwa anavyo jieleza tofauti na mashahidi upande wa mashtaka wanavyo jikanganya kwenye maelezo yao.
 
Nami naliona kwa mtazamo huo. Huenda Jaji, amekinwa na majibu ya shahidi kiasi cha kuonesha utofauti na ushahisi wa mashahidi waliopita.
 
Kuna uwezekano jaji aliingiza utani kwa jinsi mshitakiwa anavyo jieleza tofauti na mashahidi upande wa mashtaka wanavyo jikanganya kwenye maelezo yao.
hata mimi nahisi hivyo hakutegema alivyo smat
 
Mkuu asikupotezee mood huyo, hicho ni kimalaya Cha kwenye mitandao.kinatafuta bwana wa kuki.......
 
Mkuu asikupotezee mood huyo, hicho ni kimalaya Cha kwenye mitandao.kinatafuta bwana wa kuki.......
 
Nikwenda nae hivyo hivyo ili azidi kujianika mwenyewe. Mpaka hapa alipofikia kashaonyesha kuwa upande wa Jamhuri huwa wanakaa pamoja na Mahakama kupanga namna ya kuliendesha shauri lililoko Mahakamani.

Yaani walishazoea kuwakaririsha mashahidi wao sasa wa upande wa Utetezi Jamaa katokea gerezani lkn katoa mtiririko wa ukweli bila Chenga. Jaji ataacha kuchanganyikiwa??
Kachanganyikiwa kabisa yaani!
 
Mna visingizio sana tulieni dawa iwaingie maana mlitamba sana mama anaupiga mwingi.

Mkome kabisa tabia ya kuingilia mahakama.
Huyu shahidi kwanza ametoa ushahidi wake kwa kustukizwa , yaani hakuwa ameandaliwa kabla baada ya upande wa Jamhuri kushindwa kuendelea na mashahidi kwenye kesi ndogo, ni maoni ya watu wengi kwamba maelezo anayotoa yana ukweli wa kiasi kikubwa.
 
Back
Top Bottom