Kauli Tata za Samia Zilizowaacha watu MIdomo wazi huku hawaamini kama Mkuu wa Nchi anaweza kutamka Maneno haya.

The Burning Spear

JF-Expert Member
Joined
Dec 23, 2011
Posts
8,550
Reaction score
20,342
GT
Kiufupi sana samia hakujiandaa kuwa raisi lakini pia hata wasaidizi wake wameshindwa kumsaidia kuwa Raisi.mzuri, sasa wanachofanya .ni
Kulazimisha kila Kitu kwa mabavu

Baadhi ya kauli hapa chini ni Ushahidi tosha kwamba Mkuu wetu wa nchi hana karama hiyo ya uongozi Unaweza ukaongezea zingine in case nimesahau.

1." Kila mtu ale kwa urefu wa kamba yake". Raisi wa Nchi anatamka hii wananchi walipokea hili kama fungulia mbwa yaani mwenye nguvu mpishe, kiufupi alihalalisha rushwa na ubadhilifu.

2. "Katiba ni kijitabu tu" hili lilikuwa tusi kubwa sana kwa katiba ya Tanzania, ni Raisi samia.pekee aliyedharau katiba ya nchi kwa tusi kubwa namna hili.

3. "Nimeziba masikio'. What the hell kwamba hutaki kuwasikia unaowaongoza wanaema nini so what watanzania siyo kwamba ni wapole tu bali tuna ujinga mwingi vichwani mwetu.

4. "Kifo ni kifo tu" aha ha aha mtu kashushwa kwenye Bus kaokotwa katobolewa macho. Badala ya kuagiza uchunguzi Raisi anatoa mipasho, Dunia nzima hakuna Raisi wa kufanya hivyo.

5. "Kutochanganya siasa na dini na kuapa kuwashugulikia Viongozi wa dini'..Means hajui mchango wa taasisi.za dini hapa nchini katika siasa za Tanzania hii nayo ilikiwa dharau kubwa.

6. "Ukinipapasa nami nakupapasa na kupulizia" mhii ehe he he he mahaba kwa wateule wake ndo maana baadhi hataki kuwatumbua licha ya kuonyesha utendaji mbovu. Hapa ndipo chimbuko la chawa lilipoanzia..

7. "Tulihalibiwa huko nyuma tukaambiwa bei ya umeme ni 27k Umeme haupo hivyo" . Du kwani huko nyuma hakuwepo? inashangaza.

8. "Wameharibu huko kwao hapakaliki wanataKa kutuharibia na sisi".No comment here, wenye hekima wameshaomba msamaha kiufupi taasisi ya urais Tanzania imeingiliwa.

9. 'Hatuwataji akina Gwajima katika CCM" Kauli iliyojaa dharau na kiburi (Tume ya uchaguzi na vyombo vya dola) na kulewa madaraka bila kusikiliza maoni/Vilio vya wananchi..

Samia ni mtu wa kupuuza.puuza mambo ya msingi na kushadadia propaganda. Mbele ya TAL mama huyu hatoboi that is why kamtia lock up.

"Tunataka kuona katika Taifa hili, vijana jeuri na wenye kujiamini, si vijana waoga, akina "ndiyo bwana mkubwa", vijana wanaohoji na kupiga vita mifumo ya jamii isiyoshabihiana na matakwa na matarajio ya jamii ya kitanzania. Tunataka vijana waasi dhidi ya mifumo kandamizi, ubwana na ufisadi katika Taifa"

Mwl J.K. Nyerere, Rais wa Kwanza wa Tanzania
 
You are wrong. Kuna mtu na mtu Kila mtu na lwake. Rais Reagan wa Marekani alikuwa ni hivi hivi, na Waziri Mkuu Harold Wilson wa Uingreza, maaroof kwa dhana ya "CALLING A SPADE A SPADE". Hii hudaodiacsana kufanya Rais awe ," mtu wa kawaida kama sisi" yaani anaongea yale ambayo mtu wa kawaida angeongea. Indeed, hata na Tundu Lissu hujitanabaisha naye kuwa ni CALLING A SPADE A SPADE, ila yeye tafauti ni kwamba SPADE zake ema ni matusi au ni unproven allegations, kwa hiyo anaanguka chini puu! kwa vile "mtu wa kawaida" huwa hana matusi.
 
  • Thanks
Reactions: apk
GT
Kiufupi sana samia hakujiandaa kuwa raisi lakini pia hata wasaidizi wake wameshindwa kumsaidia kuwa Raisi.mzuri, sasa wanachofanya .ni
Kulazimisha kila Kitu kwa mabavu

Baadhi ya kauli hapa chini ni Ushahidi tosha kwamba Mkuu wetu wa nchi hana karama hiyo ya uongozi Unaweza ukaongezea zingine in case nimesahau.

1." Kila mtu ale kwa urefu wa kamba yake". Raisi wa Nchi anatamka hii wananchi walipokea hili kama fungulia mbwa yaani mwenye nguvu mpishe, kiufupi alihalalisha rushwa na ubadhilifu.

2. "Katiba ni kijitabu tu" hili lilikuwa tusi kubwa sana kwa katiba ya Tanzania, ni Raisi samia.pekee aliyedharau katiba ya nchi kwa tusi kubwa namna hili.

3. "Nimeziba masikio'. What the hell kwamba hutaki kuwasikia unaowaongoza wanaema nini so what watanzania siyo kwamba ni wapole tu bali tuna ujinga mwingi vichwani mwetu.

4. "Kifo ni kifo tu" aha ha aha mtu kashushwa kwenye Bus kaokotwa katobolewa macho. Badala ya kuagiza uchunguzi Raisi anatoa mipasho, Dunia nzima hakuna Raisi wa kufanya hivyo.

5. "Kutochanganya siasa na dini na kuapa kuwashugulikia Viongozi wa dini'..Means hajui mchango wa taasisi.za dini hapa nchini katika siasa za Tanzania hii nayo ilikiwa dharau kubwa.

6. "Ukinipapasa nami nakupapasa na kupulizia" mhii ehe he he he mahaba kwa wateule wake ndo maana baadhi hataki kuwatumbua licha ya kuonyesha utendaji mbovu. Hapa ndipo chimbuko la chawa lilipoanzia..

7. "Tulihalibiwa huko nyuma tukaambiwa bei ya umeme ni 27k Umeme haupo hivyo" . Du kwani huko nyuma hakuwepo? inashangaza.

8. "Wameharibu huko kwao hapakaliki wanataKa kutuharibia na sisi".No comment here, wenye hekima wameshaomba msamaha kiufupi taasisi ya urais Tanzania imeingiliwa.

9. 'Hatuwataji akina Gwajima katika CCM" Kauli iliyojaa dharau na kiburi (Tume ya uchaguzi na vyombo vya dola) na kulewa madaraka bila kusikiliza maoni/Vilio vya wananchi..

Samia ni mtu wa kupuuza.puuza mambo ya msingi na kushadadia propaganda. Mbele ya TAL mama huyu hatoboi that is why kamtia lock up.

View attachment 3351865
Zingine ni:
UKINIZINGUA NA MIMI NAKUZINGUA.
ALIYESIMAMA HAPA NI RAIS.

Ni kauli tata zinazo onesha mama hajiamini, ana hofu na anatumia vitisho kwa wanaume walio chini yake.
Kiufupi kinavhomsumhua mama ni " inferiority complex"
Kumbuka mtu yeyote akisimama mbele ya hadhira ya watu wanaomzidi elimu, akili, uwezo wa kufikiri na kudadavua mambo lazima ata- panick tu na ukizingatia ni mwanamke!!

Ndiyo maana Mungu alimpa Mwanaume kutawala na si Mwanamke kwasababu Mwanamme ndiye aliumbwa kwanza na Mwanamke baadae kutolewa kwenye ubavu wa Mwanamme!!
Mungu huwa hakosei wala hajifunzi chochote toka kwa Mwanadamu. Kumweka mwanamke msmlaka ya kutawala ni kumpuuza, kumdharau na kutaka kumsahihisha Mungu kitu ambacho hakiwezekani asilan!
 
Sawa sawa
 
poll umeiona? huyu hatoboi hata kwa gwajima
Poll hizi za keyboard warriors?

Chakandumuz tayari mmeshapotea mazima, hamjui msimame na somo, vuvuzela, babu mihogo au gwajiboy

Na bado in two weeks mnapewa mwingine awatoe kwenye reli…. Hadi October inafika mtakua hamna mbele wala nyuma
 
GT
Kiufupi sana samia hakujiandaa kuwa raisi lakini pia hata wasaidizi wake wameshindwa kumsaidia kuwa Raisi.mzuri, sasa wanachofanya .ni
Kulazimisha kila Kitu kwa mabavu
Tulikushauri usiwe unatumia kinywaji kikali kabla ya kutoa statement hukutusikia, unaona sasa? Pombe sio chai.
 
Nimekuteuwa kwa vile nimependa kifua chako kipana
 
Back
Top Bottom