Kauli Tata za Gwajima dhidi ya Kikwete zarejea kwa Samia

Askofu Josephat Gwajima ameendelea kudhihirisha chuki zake dhidi ya Uislamu, msimamo aliokuwa nao tangu enzi za Rais Jakaya Mrisho Kikwete na ambao sasa ameuhamishia kwa Rais Samia Suluhu Hassan.

Si mara moja wala mara mbili ambapo Gwajima ametumia majukwaa ya dini na siasa kutoa kauli zenye ubaguzi wa kidini.

Katika moja ya video zake enzi ya utawala wa Kikwete, Gwajima aliwahi kusema hadharani: “Uongozi wa Kikwete ndiyo ulikuwa wa mwisho kufuga majini Ikulu.”

Kupitia kauli hiyo, alijaribu kupandikiza fikra potofu kuwa Rais Kikwete, kwa kuwa Muislamu, alikuwa mshirikina na mfuga majini.

Si hilo tu, aliwahi pia kusema kuwa “dini ya Kiislamu ni dini ya uchawi na majini.” Kauli ya uchochezi inayolenga kuchafua taswira ya dini hiyo.

Gwajima pia aliwahi kutamka kuwa ana ndoto ya “kugeuza misikiti yote kuwa shule za Sunday Schools” akisisitiza kuwa hatafariki kabla ya kutimiza ndoto hiyo.

View: https://www.facebook.com/share/v/1Dkf38mJ3s/
 
Kwanza
Uislam umekataa mwanamke kuwa nafasi ya juu kama urais
 
Haijalishi alisema hivyo lakini ukweli utabaki kuwa ukweli.

Unafurahi kuona watanzania wenzio wanapotezwa kwa kuuawa mfano Ben,kibao,soka mdude nk?
Jitu lenye udini kama Gwajima likipitia misukosuko mimi nafurahi tu.

Unaweza ukawa mpigania haki bila kukashifu dini za watu.
 
Kwani bashite alikuwa muislamu?? gwajiboy ukijimix unapikwaa tuuu...sijui yuko wapi hadi leo majamaa wanahaha tu
 
Waislam wenye Akili Timanu wote wanajua Dhambi ya Utekaji haina Udini na kamwe hawataingia kwenye mtego huo
Yes utekaji ni kitu kibaya sana.

Na kiongizi yoyote anayeteka na kuua watu kwa kisingizio chochote hafai na anapaswa akemewe na awajibishwe.

Lakini hiyo haiondoi ukweli kwamba Gwajima ni mdini na mtu mwenye chuki na uislamu.

Alishaongea maneno ya chuki na kuudhi dhidi ya uislamu na alituumiza sana waislamu.

Tukimuona anasulubiwa na sisi aliotuonesha chuki lazima tufurahi.

Binafsi nafurahi kwa anayopitia japo aliyoyasema yote ya kweli na hata mimi siungi mkono upuuzi wa kizimkazi.

Bado Lukuvi.

Pia ni mtu wa chuki sana kwa waislamu na anazionesha waziwazi.
 
Kwenye ile press ya Gwajima sijaona sehemu akiutaja Uislamu....Sheikh umechanganyikiwa au?
 
Yes utekaji ni kitu kibaya sana.

Na kiongizi yoyote anayeteka na kuua watu kwa kisingizio chochote hafai na anapaswa akemewe na awajibishwe.

Lakini hiyo haiondoi ukweli kwamba Gwajima ni mdini na mtu mwenye chuki na uislamu.

Alishaongea maneno ya chuki na kuudhi dhidi ya uislamu na alituumiza sana waislamu.

Tukimuona anasulubiwa na sisi aliotuonesha chuki lazima tufurahi.

Binafsi nafurahi kwa anayopitia japo aliyoyasema yote ya kweli na hata mimi siungi mkono upuuzi wa kizimkazi.

Bado Lukuvi.

Pia ni mtu wa chuki sana kwa waislamu na anazionesha waziwazi.
Toa udini wako hapa mkimuona wewe na nani? Wewe ni muislamu kweli? ndo uislamu unafundisha hvyo?
 
Naona mnamshambulia mleta mada. Kama anadanganya leteni ushahidi kwamba hakuwahi kuzungumza haya maneno. Huyo mcheza X anajulikana kwa namna alivyo na chuki dhidi ya uislamu.
Inahusiana nini na utekaji anaoukemea ?
 
Askofu Josephat Gwajima ameendelea kudhihirisha chuki zake dhidi ya Uislamu, msimamo aliokuwa nao tangu enzi za Rais Jakaya Mrisho Kikwete na ambao sasa ameuhamishia kwa Rais Samia Suluhu Hassan.

Si mara moja wala mara mbili ambapo Gwajima ametumia majukwaa ya dini na siasa kutoa kauli zenye ubaguzi wa kidini.

Katika moja ya video zake enzi ya utawala wa Kikwete, Gwajima aliwahi kusema hadharani: “Uongozi wa Kikwete ndiyo ulikuwa wa mwisho kufuga majini Ikulu.”

Kupitia kauli hiyo, alijaribu kupandikiza fikra potofu kuwa Rais Kikwete, kwa kuwa Muislamu, alikuwa mshirikina na mfuga majini.

Si hilo tu, aliwahi pia kusema kuwa “dini ya Kiislamu ni dini ya uchawi na majini.” Kauli ya uchochezi inayolenga kuchafua taswira ya dini hiyo.

Gwajima pia aliwahi kutamka kuwa ana ndoto ya “kugeuza misikiti yote kuwa shule za Sunday Schools” akisisitiza kuwa hatafariki kabla ya kutimiza ndoto hiyo.
mkuu mkuu ushahidi wa video hata moja dhidi ya thuma hizi uko wapi? halafu mbona sijaona akimzungumzia samia dhidi ya uislamu?
 
Back
Top Bottom