Mkono Mmoja
JF-Expert Member
- Jan 26, 2019
- 3,958
- 7,697
unashenyetwa wwNi kweli kabisa S.A. W katufundsha kufuga majini.

Askofu Josephat Gwajima ameendelea kudhihirisha chuki zake dhidi ya Uislamu, msimamo aliokuwa nao tangu enzi za Rais Jakaya Mrisho Kikwete na ambao sasa ameuhamishia kwa Rais Samia Suluhu Hassan.
Si mara moja wala mara mbili ambapo Gwajima ametumia majukwaa ya dini na siasa kutoa kauli zenye ubaguzi wa kidini.
Katika moja ya video zake enzi ya utawala wa Kikwete, Gwajima aliwahi kusema hadharani: “Uongozi wa Kikwete ndiyo ulikuwa wa mwisho kufuga majini Ikulu.”
Kupitia kauli hiyo, alijaribu kupandikiza fikra potofu kuwa Rais Kikwete, kwa kuwa Muislamu, alikuwa mshirikina na mfuga majini.
Si hilo tu, aliwahi pia kusema kuwa “dini ya Kiislamu ni dini ya uchawi na majini.” Kauli ya uchochezi inayolenga kuchafua taswira ya dini hiyo.
Gwajima pia aliwahi kutamka kuwa ana ndoto ya “kugeuza misikiti yote kuwa shule za Sunday Schools” akisisitiza kuwa hatafariki kabla ya kutimiza ndoto hiyo.
Siku zote mlikuwa wapi hadi sasa muanze kutafuta kauli za zamani ili kumchonganisha Samia na Gwajima? Uislam na ukristo?Askofu Josephat Gwajima ameendelea kudhihirisha chuki zake dhidi ya Uislamu, msimamo aliokuwa nao tangu enzi za Rais Jakaya Mrisho Kikwete na ambao sasa ameuhamishia kwa Rais Samia Suluhu Hassan.
Si mara moja wala mara mbili ambapo Gwajima ametumia majukwaa ya dini na siasa kutoa kauli zenye ubaguzi wa kidini.
Katika moja ya video zake enzi ya utawala wa Kikwete, Gwajima aliwahi kusema hadharani: “Uongozi wa Kikwete ndiyo ulikuwa wa mwisho kufuga majini Ikulu.”
Kupitia kauli hiyo, alijaribu kupandikiza fikra potofu kuwa Rais Kikwete, kwa kuwa Muislamu, alikuwa mshirikina na mfuga majini.
Si hilo tu, aliwahi pia kusema kuwa “dini ya Kiislamu ni dini ya uchawi na majini.” Kauli ya uchochezi inayolenga kuchafua taswira ya dini hiyo.
Gwajima pia aliwahi kutamka kuwa ana ndoto ya “kugeuza misikiti yote kuwa shule za Sunday Schools” akisisitiza kuwa hatafariki kabla ya kutimiza ndoto hiyo.
Sawa! Ni wakatoliki wale. Tufanye yameisha.Samia na Kikwrte siyo Uislam.
Kenge kama kengeAskofu Josephat Gwajima ameendelea kudhihirisha chuki zake dhidi ya Uislamu, msimamo aliokuwa nao tangu enzi za Rais Jakaya Mrisho Kikwete na ambao sasa ameuhamishia kwa Rais Samia Suluhu Hassan.
Si mara moja wala mara mbili ambapo Gwajima ametumia majukwaa ya dini na siasa kutoa kauli zenye ubaguzi wa kidini.
Katika moja ya video zake enzi ya utawala wa Kikwete, Gwajima aliwahi kusema hadharani: “Uongozi wa Kikwete ndiyo ulikuwa wa mwisho kufuga majini Ikulu.”
Kupitia kauli hiyo, alijaribu kupandikiza fikra potofu kuwa Rais Kikwete, kwa kuwa Muislamu, alikuwa mshirikina na mfuga majini.
Si hilo tu, aliwahi pia kusema kuwa “dini ya Kiislamu ni dini ya uchawi na majini.” Kauli ya uchochezi inayolenga kuchafua taswira ya dini hiyo.
Gwajima pia aliwahi kutamka kuwa ana ndoto ya “kugeuza misikiti yote kuwa shule za Sunday Schools” akisisitiza kuwa hatafariki kabla ya kutimiza ndoto hiyo.
Huwezi kuchangia bila lugha chafu?Kenge kama kenge
Mkuu kenge ni jina rasmi kabisa alilitumia ndungu muheshimiwa mbunge ndani ya bunge letu tukufu na ikahifadhiwa kwenye “hansadi” za kibunge huku Spika wa bunge akikenua meno kwa kichekoHuwezi kuchangia bila lugha chafu?
Achaneni na mambo ya kidini hayatufikishi kokote. Dini yetu kuu ni utanzania mengine yote ni mbwembwe tu.Askofu Josephat Gwajima ameendelea kudhihirisha chuki zake dhidi ya Uislamu, msimamo aliokuwa nao tangu enzi za Rais Jakaya Mrisho Kikwete na ambao sasa ameuhamishia kwa Rais Samia Suluhu Hassan.
Si mara moja wala mara mbili ambapo Gwajima ametumia majukwaa ya dini na siasa kutoa kauli zenye ubaguzi wa kidini.
Katika moja ya video zake enzi ya utawala wa Kikwete, Gwajima aliwahi kusema hadharani: “Uongozi wa Kikwete ndiyo ulikuwa wa mwisho kufuga majini Ikulu.”
Kupitia kauli hiyo, alijaribu kupandikiza fikra potofu kuwa Rais Kikwete, kwa kuwa Muislamu, alikuwa mshirikina na mfuga majini.
Si hilo tu, aliwahi pia kusema kuwa “dini ya Kiislamu ni dini ya uchawi na majini.” Kauli ya uchochezi inayolenga kuchafua taswira ya dini hiyo.
Gwajima pia aliwahi kutamka kuwa ana ndoto ya “kugeuza misikiti yote kuwa shule za Sunday Schools” akisisitiza kuwa hatafariki kabla ya kutimiza ndoto hiyo.
Hahahaha.!! Mzee wa movies & GamesMama yako ange taka abortion ninge toa pesa
Sawa! Ni wakatoliki wale. Tufanye yameisha.
Tuendelee kuzungumza, wenye akili zao TIMAMU wanaweza kubadilika kifikra, ila kwa mambumbumbu, tusitegemee kitu.Elimu ni kikwazo kwa vijana wengi wa Kiislam hapa Tanzania. Sielewi kwanini hawapendi kusikia ama kuambiwa ukweli, ukiwaelimisha wanakuita kafiri simply because hawajuwi wakifanyacho wakati wewe unawafundisha ili nao wawafundishe wenzao lakini hawataki kusikia ukweli wako stuck kwenye uwongo na kujiaminisha upuuzi usio na kichwa wala miguu. Sijuwi tunawasaidiaje hawa wapuuzi.
Muislamu gani unakubali serikali Yako kutekwa watu na kuuwa watu.Hata haseme nn mbele yetu sisi waislamu ni mnafiki na alisha onyesha chuki za wazi dhidi yetu na hatokuja kupata support yetu. Tutamkumbusha kila muislamu kwa kila njia.
Alafu support yetu waislamu sio ya lazima nyie endelezeni harakati zenu sio lazima tuwaunge mkono.
hoja nikwamba alisema au hakusema ?Vijana wa Kizimkazi bwana, hivi ni lini Gwajima alikuambia kuwa ana chuki na Waislam, wacha kumpandikizia mwenzio kashifa zisizo na sababu. Kwani ni Waislam tu wafugao majini, mbona kuna hata Wakristu wafugao majini japo wananunua kwa Waislam lakini wanafuga. Je, Kikwete alikataa au kukanusha kuwa hafugi majini?
“dini ya Kiislamu ni dini ya uchawi na majini.”