Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 13,502
- 51,098
Mara nyingi, Mbowe amekuwa ni mtu wa amani sana.
Kuna nyakati wafuasi wa chama chake walikuwa wakimtaka Mwenyekiti awape go ahead ya kufanya matendo ya kulipiza visasi kutokana na hila na uonevu waliokuwa wakifanyiwa na watu wa mrengo wa CCM na serikali, Lakini Mbowe siku zote amekuwa akiwaasa wanaCHADEMA kuwa KISASI NI KAZI YA MUNGU tusilipiziane kisasi.
Ilifikia hatua Mbowe akawaambia wanaChadema kuwa kama wanataka mwenyekiti mwenye ajenda za kulipiza visasi, basi watafute mwenyekiti mwingine.
Tumeona mathalani Mbowe akinyanyaswa sana na utawala uliopita, Account zake kufungwa, Club yake ya Bilcanas kuvunjwa, Mashamba yake huko Moshi kuharibiwa, Akawekwa ndani miezi minne bila grounds, na sasa kawekwa ndani tena na Utawala wa Samia.
Kama kuna mtu ambaye serikali ilipaswa ifanye naye kazi katika suala la amani na utengamano wa Taifa basi ni Freeman Mbowe. Mbowe haamini katika siasa za fujo bali za hoja, Haamimi katika visasi bali katika kusameheana, sasa mtu peace kama huyu kwa nini umuonee yaani?
Mbowe alisema kisasi anamuachia Mungu,, Sijui Mungu atajibuje lakini tuwe makini pindi tunapodeal na watu wanaomtumainia Mungu awapiganie!
Muachieni huru Freeman Mbowe ni mtu ambaye hana hatia