Duh maneno KuntuAlikosea sana mwanaume haambiwi "hujui au hujanifanya vizuri" ni mwendo wa kusifia tu ili asijiskie vibaya, ila ukweli wengi wenu hamjui
Ova
Ushamuongezea doa jengine sijui hili litamchukua muda gani ila ushauri wangu Fanya kwa kujirudhira ww sio yy wacha kujitutumua kwa kutaka kumridhisha mtu mlokutana ukubwani utajichosha maana hujui kapitia mapito gani.
Wapi nimesema naishi na kibabu?Kwahiyo kibaba cha kilo 84 kinakulalia kama Gwajima vile mkitoka hapo unamwambia yeye ni noma?
Unless unajijua hakuna future ila kama ipo bora umpe somo.
Niambie hata kwa kule kwenye kifichoNgoja kwanza
Hapana sijaandika kibabu. Samahani kwa kukufanya ufikie conclusion isiyo sahihi.Wapi nimesema naishi na kibabu?
Kutokana na uzi huu nimegundua kua wanaume hawataki kuwaambiwa ukweli, ukweli unauma wanapenda misifa kumbe ni kuchepuka tu ndiyo dawaHapana sijaandika kibabu. Samahani kwa kukufanya ufikie conclusion isiyo sahihi.
Muwe mnakata viuno nanyieAlikosea sana mwanaume haambiwi "hujui au hujanifanya vizuri" ni mwendo wa kusifia tu ili asijiskie vibaya, ila ukweli wengi wenu hamjui
Ova
Hatujui kufanya? Hebu elezea hapa iweje iweje?
Ngumu mzee yaani niumie hii in general?Mwingine huyu kashaumia tayari