Kauli hii haifutiki mpaka leo ni mwaka wa 6

Screenshot_20191204-081945.jpeg
 
UNIQUEMAN1, Pole sana ndugu maana ukweli unauma sana.

Lakini amini usiamini bora alivyokwambia ukawa umebadilika kuliko angekudanganya ukaendelea kubweteka. Wala usimfikirie vibaya.

Amini, kama asingekwambia basi ujue angetafuta pengine.
Sema tu alikosea namna ya kuku- encourage na hakutumia politely language.
 
mm niliambia mimemfua yeye na mashuka n' tuko poa tu ni ile kuchulia vitu visivyo na maana simple n' life linaendelea.
Mm ni sababu gf pia ni rafiki kwangu
 
Ushamuongezea doa jengine sijui hili litamchukua muda gani ila ushauri wangu Fanya kwa kujirudhira ww sio yy wacha kujitutumua kwa kutaka kumridhisha mtu mlokutana ukubwani utajichosha maana hujui kapitia mapito gani.
 
Madhara ya kuweka vitu moyoni..badala ya kumshukuru kukwambia ukweli hadi kumridhisha game iliyofuata ndiyo Kwanza wamchukia..kuwa mwanaume.

Huna shukrani..
 
Hapana sijaandika kibabu. Samahani kwa kukufanya ufikie conclusion isiyo sahihi.
Kutokana na uzi huu nimegundua kua wanaume hawataki kuwaambiwa ukweli, ukweli unauma wanapenda misifa kumbe ni kuchepuka tu ndiyo dawa
 
Asiyemtombaaaji unamjua tuu. Hivi unaogopa na kujisikia vibaya kuambiwa shoo fulani hujasimamia kucha.

Kwa sisi vitombi Hata demu asiposema tunajua tuu kuwa leo nimeboronga.

Tena nitamwambia kuwa aniwie radhi leo sijampa mavitu ya uhakika.

Kitombi anajua kabisa kuna mechi atashinda na zipo nyingine atashindwa.

Sasa kama unajisikia vibaya kuambiwa ukweli. Usishangae hata unavyosifiwa ukawa unadanganywa.

Kupitia ukweli ndio unajitambua.

Nyau kabisa
 
hahaha umenikumbusha juzi tu tupo kabanga boda pamoja na dogo sasa dogo yeye anajifanyaga shababi akamwita manzi mmoja, yule dem kaja kufika pale akamwambia sema msomali ushawahi kukutana na K kubwa? mi nna k we mwenyewe ukitaka kutumbukia unatumbukia na manyoya yako yote hayo kama ( akamtaja nabii mmoja) nakuona upo fresh twende zetu alaf akaingiza mkono ktk suruali ya dogo kisha akacheka sana..dogo alinywea. sijaielewa akili ya yule ma**ya mpaka sasa ila dogo alifedheheka sana maana mwenyewe anajiita ana boombadia
 
Back
Top Bottom