Kauli hii haifutiki mpaka leo ni mwaka wa 6

Hahaaa umevurugwa...... " wewe umejuaje kuwa wengi hatujui...Hiyo experience uliyonayo mwenzangu SHIKAMOO....MIA KHALIFA ni jirani yako ?
Kwenye vikao vyetu tunahadithiana, nimekutana na kadhaa, anayejua mmoja tu Sasa imagine kikaoni tupo 6 then kila mtu analinyambulisha group alilotembea nalo eheeeee kwa nini nisiseme wengi
 
Lol !!! Shikamoo...sio kwa kujua huko kujitetea
Kwenye vikao vyetu tunahadithiana, nimekutana na kadhaa, anayejua mmoja tu Sasa imagine kikaoni tupo 6 then kila mtu analinyambulisha group alilotembea nalo eheeeee kwa nini nisiseme wengi
 
Kumbe watu mnapenda Waongo waongo. Wewe ulitaka akuambie umefanya vzr wakati sio kweli.

Mi nakushauri mkeo ni mkweli acha wanaokuambia unapiga vzr unaendelea na mtindo wako wa nje ndani halafu ukitoka unaenda kupasuliwa ili wakidhi haja.

Umeelekezwa mshukuru na nadhani round zingine ulijiongeza au kama ujinga huu unao wanakugongea na ameamua akusifu yaishe maana hushauriki
 
Back
Top Bottom