Kauli hii haifutiki mpaka leo ni mwaka wa 6

Shida ya wanawake wengi ni malaya.Ukishaambiwa hivyo hujui ujue huyo mwanamke ana lundo la wanaume.Ujue kujua au kutojua lazima ulinganishe na anayejua au asiyejua
Umeconclude vibaya, what if alitembea na mmoja tu akamkuna vizuri, kaja hapo kakutana na majanga??? Unatoaje hukumu ya hivyo, ehee wanawake malaya na nyie wanaume kutwaaaa kupitisha vijiti vyenu kwenye kila shimo tuwaiteje????
 


Huyo ilipaswa upige chini mapema tu, mwanamke malaya peke yake ndiye mwenye ujasiri wa kusema hayo!
 
Alikosea sana mwanaume haambiwi "hujui au hujanifanya vizuri" ni mwendo wa kusifia tu ili asijiskie vibaya, ila ukweli wengi wenu hamjui

Ova
Yani nilitaka kusema hivi hivi. Ukweli ni kwamba wengi hatujui na pia hata kama tunajua. Haitakaa iwezekane kumfanya vizuri all the time!
Pia, wanawake wengi are really bad in bed, but kasoro huwa hazisemwi. Ni kuelekezana tu.
Mke wa jamaa kafanya kitu ambacho maisha yake yote kitamcost. Na ndio madhara ya kulala lala na watu before marriage.
Solution; Jamaa achepuke tu. Wanawake ni wetu sote
 
Hahaaa umevurugwa...... " wewe umejuaje kuwa wengi hatujui...Hiyo experience uliyonayo mwenzangu SHIKAMOO....MIA KHALIFA ni jirani yako ?
Alikosea sana mwanaume haambiwi "hujui au hujanifanya vizuri" ni mwendo wa kusifia tu ili asijiskie vibaya, ila ukweli wengi wenu hamjui

Ova
 
Haya yanawezekana kwa wanaume wachache sana especially sisi tulioamua kuwa ma-gentleman
Hujaamua kupuuza ili muishi kwa amani na upendo

Ukiamua kuishi na binadamu mwenzako changamoto haziishi tena mitihani kila siku.

Jiulize
wewe huna mapungufu
Hujawahi mkosea
Hufanyi makosa

Kinachokuumiza ni wivu tu kwamba kuna mtu alikuwa anamtenda vizuri kabla yako ndio maana unakinyongo.

Yesi nisehemu ya maisha

Jiulize pia kama wewe
1. Hukuwahi kufanya nje kabla yake? Kama hukuwahi hongera zako. Kama ndio yeye hana roho na damu?

2. Je ukienda kupata mwengine unauhakika atakuwa hajawahi kufanya..... hatafanywa?

Mambo mengine nakujiumiza bila sababu maana haijapunguwa hiyo nitumie tu mpaka mwisho, kuumia kwako kila siku hakukuongezei thamani yoyote zaidi yakukumiza kijinga.

Potezea na puuza sababu yote hayo nisehemu ya maisha

Hakuna aliyemkamilifu duniani ila Mungu peke yake kwa wanaoamini.
 
Mnatunanga ila tukisimamia kucha, utasikia anasema "Baby mwaga basi nimechoka", hapo ukute mpira ndio kwanza upo center, ukija kufika kwenye 18 utakuta kashakaukiwa koo kwa miluzi ya utamu..
 
Ukiwa mkubwa ataacha ujinga huu, wanaume hawaweki ujinga kama huo miaka 6....?
 
Kitu kidogo kama icho unakiweka moyoni ivi siku mkihombana akikwambia mtoto si wako si utajiuwa wewe kama huwezi sahau mwambie ulinikeraga kwa kitu hiki na hiki hadi leo liko moyoni litakusaidia kutoka ila boraa alikwambia ukweli maana ivi kama angenyamaza alafu akaenda kutulizwa nje na mwingine ungejisikiaje siku ukijua alafu akwambie kuwa humridhishi? Furahi kuwa alikwambia ukweli ambao umesaidi penzi lenu ngono ndiyo pumzi ya ndoa siku ukishindwa kumridhisha ndyo mwanzo wa kufa kwa penzi au ndoa yenu
 
Ujinga ata uchepuke Mara 10000 maumivu ya kugongewa hayaishi toa lililopo moyoni uwe huru
Kama mwanaume lazima iume maana alikudhihirishia kwamba kuna aliyekuwa anamfanya vizuri kuliko ulivyofanya siku hiyo.
Hivyo basi, kinachokuuma sio kushindwa kumfanya vizuri siku yako ya kwanza bali ni baada ya yeye kulinganisha mechi zake za nyuma na mechi mliyocheza siku hiyo.


Hili doa mimi nalifuta kwa kuchepuka vizuri japo alama yake itaendelea kuwepo
 
Awo walikuwa mama zetu ila hawa wa sikuizi wanasema na ni vizuri kusema ata mm nilishaambiwa nikaongeza uwezo nikajua mini nifanye lakini kama ukikaa kimya ukaja tekenywa muuza genge aloo iyoo ndoa kuja kuendelea ni majaaliwa ya mnyanzi Mungu
Alikosea sana mwanaume haambiwi "hujui au hujanifanya vizuri" ni mwendo wa kusifia tu ili asijiskie vibaya, ila ukweli wengi wenu hamjui

Ova
 
Back
Top Bottom