Shreck, Ben 10, 444, Guffy, garfield, tom and jery, scooby, the simpsons, the batman, flint stone na nyingnezo nyingi ingawa hz ndizo my favorate. Ktk gazeti kuna bwana chezo, kingo, bi mkora na madenge wa sani. Am addicted with cartoons na ni tiba ya moyo.
Nimeanza kuangalia katun nikiwa mtoto (enzi hizo padre anatuonyesha baada ya ibada ya jioni kanisani kila jumapili) the passion nevr died; being a parent now am sharing it with my son...........why its only in cartoons where you don't harbor feelings or become emotional (kwa cinema addicts mnalitambua hili) you just laugh your heart off!
our favorite ni Tom and Jerry ; haswa harakati za Tom kumnasa kimwana na Jerry kumuharibia kwa kuchelea kumpoteza rafiki yake.............na ile almaarufu panya aitwaye El magnifico!
Ikifuatiwa na Batman, Ben 10, Mickey Mouse collection................
Kwenye gazeti hakuna mtu ananikuna kama GADO ; mtz anayewachorea The nation ya Kenya! lakini pia namkubali Nathan Mpangala na masoud kila mtu anyo angle inayokufanya uwaze na kufurahi!
Kwa mwanangu cartoons zimempa msaada mkubwa wa uelewa na kumbukumbu; he can easily get the sentences and sasa he fully speaks whole sentences with the remarks from cartoons; my take tuwahamasishe wanetu kuziangalia pale tuwezapo kuliko kushinda muda wote kwenye mpira!
Katuni za Gado yule jamaa mchoraji wa katuni kutoka kenya akiamua kumchora Kibaki au Laila utafurahi mwenyewe yaaan ni noma
ukitaka kucheka na katuni tfuta kipindi kinaitwa 'cartoon network' m-net au channel ten*
Nothing4good with a name like this...................I don't expect less..........hahahaha..........kama unao watoto kwa nini hujivunii kuwa nao! na hapa issue sie watoto; ni cartoon! Ala x million &&&9762538393866655%%%^ WE!nani kakuuliza? ah! Wa2 wengine bwana! Kila saa padri! my children.. my children,.. Hata sisi 2na watoto. Ala?!
Katuni za Gado yule jamaa mchoraji wa katuni kutoka kenya akiamua kumchora Kibaki au Laila utafurahi mwenyewe yaaan ni noma
GADO ni Mtanzania ; Godfrey Mwapembwa ndo jina lake halisi.............GADO ni artististic trade mark; yuko juu!