Chosen man
JF-Expert Member
- Dec 30, 2017
- 520
- 722
Magufuli alikuwa na uwezo mdogo sana hivyo asingeweza kuhutubia kwenye UNGA.Miaka mitano yote akiwa madarakani tuliwakilishwa na mawaziri wa nje. Na hakuna mtanzania aliyeona labda tumepungukiwa kiuchumi. Zaidi ya kuona maendeleo kwenye sekta za afya, miundo mbinu na ukusanyaji mapato.
Safari hii tumewakilishwa na mkuu wa nchi. Je, ndio kusema taasisi kubwa kama Imf, Wb na taasisi Tanzu za UN zitaisadia Tanzania na kupaaa kiuchumi? Je haya madhila ya kukosa ajira, kukosa madarasa, kukosa maji na uvunjifu wa haki za binadamu vitaisha?