Bill
JF-Expert Member
- Oct 5, 2007
- 10,703
- 11,813
Ikiwa wewe ni mme soon utakuwa shoga maana utataka kujarib zote ili ufahamu yupi anafurahia zaidi.Mume na mke wanapokutana kimwili nani anafurahia zaidi kati yao?
Hii ni sawa na kumuuliza mtu aliye hai kuhusu kuzimu ikiwa mtu anaweza kupafurahia. Mwanamke hajawahi kufanya afanyayo mwanaume kwenye tendo la ndoa vivyo hivyo mwanaume hajawahi na hatojua afanyayo mwanamke. Kwa hiyo mwanamke atabaki kusikizia radha ya mpini na wewe pia.
Sasa unapouliza nani anafurahia zaidi labda yatafute mashoga yatakuambia.