Katika tendo la ndoa nani hufaidi zaidi?

Katika tendo la ndoa nani hufaidi zaidi?

Wanaume anafaidi zaidi maana anaweza kupata utamu huo wakati wowote siku zote za mwaka, hana siku hedhi, mimba wala danger zone!
Na wanaume tunauwezo Wa kudadili ladha mbalimbali za papuuchi kwa wiki hata Mara 3,
Wakat Wa sex mwanaume unajpendelea uwezavyo afurahie asifurahia atajijua provided rungu linaoshwa!
Nikimaliza kuenjoy nachomoa!
 
FB_IMG_1493646721906.jpg
 
Wanawake me naona hawana uhuru hata kwenye mapenzi mwanaume akimaliza haja zake akishatupia hata kama mwenzako alkua bado inakua imekla kwake
Kweli kabisa... Mwanaume ni lazima tu afaidi ila kwa mwanamke ni bahati na sibu!!! Kuna wengine hawajawai kabisa kuenjoy sex
 
Mwanamke anapata raha mpk anahis kuparalize mwil mzm,hata mkono haunyanyuki[emoji1] [emoji28] raha za kupitiliza.
proud of being a woman
Au ndo maana mwanamke anaweza pata mgegedo mmoja na akakaa wiki nzima asitamani au aipate genye... Ila mwanaume kila kukicha ana hamu
 
Mkuna na mkunwaji.
Mtume aliwahi kuuliza hili swali.akawajibu maswahaba muulizeni akash anajua.
Maswahaba wakashangaa vipi tumuulize akash wakati ni mwanaume.
Kumbe akash aliwahi kuwa mwanamke alipokuwa anaoga mtoni na wenzie akazama akaibukia nchi nyingine huko akawa mwanamke akaolewa akazaa watoto watatu.baadae akarudi tena maka na kuwa mwanaume tena,
 
Salaam MMU,

Nimekuwa nikijiuliza toka siku nyingi hili swali ''nani hasa hufaidi hili tendo mujarabu" Naomba kila mmoja atupe uzoefu wake.

Nawasilisha.
Mi naona wote tu asa kwa upande wa mwanaume.... Kwa mwanamke itategemea n ufund wa mwanaume japo mwanamke nae inabd awe fundi vile vile
 
Au ndo maana mwanamke anaweza pata mgegedo mmoja na akakaa wiki nzima asitamani au aipate genye... Ila mwanaume kila kukicha ana hamu
hio raha yake binafsi siwez kuifananisha na chochot ktk ulimwengu huu,kwanza raha ikikukolea kila mda unamtamani mwnaume,io kukaa wiki mm siijui[emoji1] [emoji28] .mana in nature ukiikumbuka tu ile raha hata yuko mbali au kazini utamtafuta tu aje akupe doz ya kukutuliza.

Na raha ya mapenz kuchezeana kutaniana mwisho wake ni raha ya kufa mtu,sio mtu mmekutana mwaaaume anakimbilia kugegeda haaa si anamchuna apo mtoto wa watu[emoji47]
 
Aisee dunia haiko fair kabisa, nikulipie usafiri, nilipie chumba, nikuandae kwa kukulamba mpaka ulimi utenguke, nihakikishe umeridhika, alafu nafaidi 10% dadeki...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ulimi bado haujazoea utamu unatenguka hadi leo mkuu??
 
Maumbile tu, tukianza kuisikilizia raha tunapoanza gusana ukucha mwanamke hatafika safari yake na raha yake kukatishwa ghafla. Ngoja tuwape raha kwanza kisha sie tumalizie maana kumuona mwanamama akipanda na kufika
kilele nako kuna raha yake

Mimi ndio moja ya raha zangu kuona mwanamama anavyopanda mlima akikifikia kilele basi roho yangu inakua nyeupe yani naridhika sana utadhani mimi ndio nimekifikia kilele [emoji1] baada ya hapo ndio nafanya yangu chap chap kumfikia kule kileleni alipo ingawa wakati ananisubiri nifike kule kileleni nae anaendelea kupata raha ya ajabu sana. Daah mapenzi kitu cha ajabu sana.
 
Ukitaka kujua nani anafaidi kati ya mke na mume inabidi u-play both role, yaani uwe mume uonje utamu wa mke then uwe mke uonje utamu wa mume.Hapo utapata majibu mubashara [emoji4]
 
Back
Top Bottom